Yanga vs Ngaya live updates

Hivi komoro inashika nafasi ya ngapi kwenye viwango vya soka Africa?.
 
FT:
Ngaya1-5Yanga.
Team itarejea nyumbani siku ya j5 inshaallah na itaingia kambini moja kwa moja kujiandaa na mechi ya marudiano siku ya J'mosi U/Taifa.
Yanga mbele nyuma mwiko.
 
Back
Top Bottom