CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,821
- 15,875
Ingekuwa hivyo Wakristo wasingeshinda Urais pale NIGERIA.Siku zote wanigeria wanapiga kura kidini na kikabila.
Ingekuwa hivyo Wakristo wasingeshinda Urais pale NIGERIA.Siku zote wanigeria wanapiga kura kidini na kikabila.
Karibu 53% mbaya zaidi hao waislam linapokuja Suala la Kupiga Kura Wanajitokeza kwa wingi zaidi.Kwahiyo waislamu ni asilimia ngapi ya wanaijeria?
Wanapiga kikabila pia. Ndiyo maana Obasanjo(Myoruba kama huyu Tinubu) aliweza kuwa rais. Jonathan aliingia baada ya Rais kufa kisha akaiba uchaguzi na kuleta machafuko makubwa. Huwezi tenganisha siasa za wanigeria na udin na ukabila.Ingekuwa hivyo Wakristo wasingeshinda Urais pale NIGERIA.
Acha uongo mzee, sijui kama hata hapo Nigeria unapajua. OBI kwanza hata ATIKU hamfikii kwa umaarufu na hata ubora. Huko kwao Anambra kwenye masikini sana.Obi Mkristo angeshinda magaidi wangefanya mashambulizi mengi kwa miaka ya kwanza ila wangepigwa. Tinubu Mwislamu akikubaliwa kuwa Rais magaidi hawatofanya mashambulizi kupitiliza na serikali haitoshughulika nao. Nigeria inakuwaga hivyo, Goodluck Jonathan alivyoondoka tu Boko Haram wakaacha kuteka wanafunzi.
Huyu Buhari alikuwa anawachekea Boko Haram ambao ni kabila lake, nao hawakuwa wanafanya matukio sana. Baadae ISWAP walivyoanza kupambana na Boko Haram na kufanya matukio na wananchi wakachukia to the maximum ndipo Nigeria ikanunua silaha na kufanya missions kali kabla ya uchaguzi. Uchaguzi ukiisha hutoona operations za kuwapiga waasi endapo chama tawala kitaendelea. Ila silaha za jeshi la Nigeria zimenunuliwa nyingi kwa gharama kubwa miaka miwili hii.
BAT hata uwezo wa kusimama vizuri hana, elimu yake haijulikani, umri wake kadanganya miaka zaidi ya kumi kwa sababu mwanamama mmoja aliyekuwa deputy wake na mdogo kiumri alishastaafu miaka kibao nyuma uko. Na classmates wa Tinubu elimu za kwanza walishastaafu na kusahaulika ila wa elimu za juu hawajulikani kwani hakufika uko. Then ni muuza madawa ya kulevya mstaafu.
Hawezi ongea bila kusoma speech mzee wa agbado. Ukijichaganya ukamuuliza maswali anasahau alichojibu.
Obi na obidients wake ni kama woke community. Ni jamii fulani king'ang'anizi ambayo haipendi kuambiwa ukweli kwamba kushinda kwa mazingira ya Nigeria hakupo, na ni jamii ya vijana wanaotumia sana media na hype kufanya kampeni. Obi ametumia makanisa na wachungaji wamempigia kampeni mno. Yeye binafsi nina imani anajua haya ila mashabiki zake hawataki kuelewa. Obidients watakuwa wapinzani wazuri na ni basis nzuri ya uchaguzi ujao kama Obi atabaki relevant. Maana najua lazima Tinubu awe kilaza kupindukia, we uliona wapi mgombea hata jimbo aliloongoza na alikozaliwa linamkataa wakati Nigeria ni nchi ya ubaguzi wa majimbo?
Yani Samia agombee alafu Unguja alikozaliwa wasimpigie kura.
Obi ndio ana unafuu kati ya wagombea wote ila hana connection kubwa na uzoefu. Akikaa calm hivihivi uchaguzi ujao atawakimbiza. Hata hivyo kaleta sense ya uwajibikaji kwa viongozi, Nigeria wanaoamua Rais awe nani na kakundi kadogo tu wala hakana kelele machoni mwa watu. Marais walikuwa wanafanya lolote as long as kale kakundi kanatimiza malengo mwananchi anadharauliwa ndio maana hiyo nchi huwa ina mambo ya ajabu sana yanatokea.
Asingeachia nchi ingewaka moto.Goodluck Jonathan huko aliko ataKuwa anajialaumu saba kwanini pindi ile aliachia madaraka kirahisi.. africa is africa tu..wenzake hana muda wa kuachia madaraka ni mwendo wa uhuni mwanzo mwisho.
YORUBA ni kabila la pili kwa ukubwa, likiwa nyuma ya HAUSA, hata hivyo YORUBA wanapatikana KASKAZINI na KUSINI mwa NIGERIA, OBASANJO OLESEGUN yy alipata unafuu zaidi kutokana na Kifo cha SANI ABACHA na ukizingatia aliwahi kuwa mkuu wa nchi miaka 1970s.Wanapiga kikabila pia. Ndiyo maana Obasanjo(Myoruba kama huyu Tinubu) aliweza kuwa rais. Jonathan aliingia baada ya Rais kufa kisha akaiba uchaguzi na kuleta machafuko makubwa. Huwezi tenganisha siasa za wanigeria na udin na ukabila.
Abasanjo aliingia kwa kuchaguliwa.YORUBA ni kabila la pili kwa ukubwa, likiwa nyuma ya HAUSA, hata hivyo YORUBA wanapatikana KASKAZINI na KUSINI mwa NIGERIA, OBASANJO OLESEGUN yy alipata unafuu zaidi kutokana na Kifo cha SANI ABACHA na ukizingatia aliwahi kuwa mkuu wa nchi miaka 1970s.
Uongo wangu uko wapi mkuu. Yani nilichoandika uongo ni kipiAcha uongo mzee, sijui kama hata hapo Nigeria unapajua. OBI kwanza hata ATIKU hamfikii kwa umaarufu na hata ubora. Huko kwao Anambra kwenye masikini sana.
OBI hawezi kuwa Rais wa NIGERIA hata iweje, na hivi ametumia makanisa kuomba kura, vijana wengi wameamua kumwaga mboga, hiyo 2027 watu wanarudi kwenye UDINI na UKABILA.
OBI kabila lake limeonekana wao ni LABOUR PART tu, yaan IGBO wao wamechagua kutokana na KABILA lao na sio MTU. Hali tofauti na makabila makubwa kama HAUSA na YORUBA ambayo kura zao ziliegemea kwa watu na ndio maana kuna mgawanyo mahsusi, kwa LP, APC, NNNP, PDP nk.
Kwa siasa za Nigeria miaka ya karibuni hii hasa uchaguzi wa 2011, 2015 na 2019 haukuzingatia sana suala la Kabila au Dini zaidi ya hali ya kiuchumi na Siasa.
OBI hawezi kuwa Rais wa Nigeria.
Asingetawala, yaani angewashiwa moto hajawahi kuona.Goodluck Jonathan huko aliko ataKuwa anajialaumu saba kwanini pindi ile aliachia madaraka kirahisi.. africa is africa tu..wenzake hana muda wa kuachia madaraka ni mwendo wa uhuni mwanzo mwisho.
Ndio lkn kabla ya hapo aliwahi kuwa RAIS wa NIGERIA 1976-1979 akaachia madaraka kwa amani lkn akaja MUHAMMADU BUHARI huyu wa Leo akapindua nchi mwaka 1982-1985 alipondolewa na IBRAHIM BABANGIDA ambaye naye alijiuzulu mwaka 1993 na kuachia kwa kiti kwa interim President SHONEKAN ambaye alikaa kwa miezi michache akaja BABU yangu mimi SANI ABACHA ambaye ndio kiongozi aliyeipa maendeleo zaidi NIGERIA ingawa pia alikuwa katili sana.Abasanjo aliingia kwa kuchaguliwa.
Wote Buhari na Obasanjo wamewahi kuwa marais wa kijeshi na wa kiraia. Nilichosema ni kuwa Obasanjo hakufuata kwa Sani Abacha. Alichaguliwa baada ya serikali fupi ya kijeshi kukaa.Ndio lkn kabla ya hapo aliwahi kuwa RAIS wa NIGERIA 1976-1979 akaachia madaraka kwa amani lkn akaja MUHAMMADU BUHARI huyu wa Leo akapindua nchi mwaka 1982-1985 alipondolewa na IBRAHIM BABANGIDA ambaye naye alijiuzulu mwaka 1993 na kuachia kwa kiti kwa interim President SHONEKAN ambaye alikaa kwa miezi michache akaja BABU yangu mimi SANI ABACHA ambaye ndio kiongozi aliyeipa maendeleo zaidi NIGERIA ingawa pia alikuwa katili sana.
Yes yeye alichaguliwa mwaka 1999 ambao ndio uchaguzi wa kwanza kumuweka madarakani kiraia, ingawa hapo nyuma ABIOLA alishinda uchaguzi na hakupewa kiti hiko.Wote Buhari na Obasanjo wamewahi kuwa marais wa kijeshi na wa kiraia. Nilichosema ni kuwa Obasanjo hakufuata kwa Sani Abacha. Alichaguliwa baada ya serikali fupi ya kijeshi kukaa.
We unaleta udini wako hapa.. Kama Jonah asingekubali kushindwa huo moto hta Kama ungewashwa Bado angebakia na madaraka yake tu, no matter what??..huu uchaguz ulikuwa uhuni.. usilete hoja Zako za kdini hapa wakati mshindi wa kwanza na Pili wote ni waislam na wote wanataka ushindi?Asingetawala, yaani angewashiwa moto hajawahi kuona.
Uchaguzi huu utatulia hata kama OBI atabishia matokeo kwa sababu zifuatazo.
1. ATIKU ABUBAKAR ambaye ni run up, yeye ni Muislam kama alivyo ASIWAJU BOLA AHMED TINUBU, hivyo ni rahisi kwake kukubali matokeo kwa mrengo wa Dini yao. Kwamba yy anaweza kutulia kwa maana hata aliyeshika nadaraka ni mtu wake tu.
2. OBI hatoungwa mkono na majority ya HAUSA na YORUBA ambao wao wana advantage mbili moja KABILA lao (YORUBA) na pili DINI yao (HAUSA)
OBI atulie tu, maana atawashiwa moto hatokaa asahau maishani mwake, amkumbuke ABIOLA vs ABACHA.
ilikuwaje Goodluck Jonathan alishinda kwenye mazingira kama hayo?Karibu 53% mbaya zaidi hao waislam linapokuja Suala la Kupiga Kura Wanajitokeza kwa wingi zaidi.
Hawakupiga kura kwa mrengo wa kidini, na pia aliachiwa madaraka kutokana na kifo cha UMARU MUSSA YAR'DUA ambaye ndiye alikuwa Rais kabla hajafarika mwaka 2010, hapo Goodluck akashika kiti cha Urais, na uchaguzi wa Mwaka 2011 akashinda kwa maana bado alikuwa ametangaza sera nzuri za Rais UMARU YAR'DUA.ilikuwaje Goodluck Jonathan alishinda kwenye mazingira kama hayo?
50% muslim North
40% Christian South
10% no dini
Waislam wa North ambao ni Hausa na Fulan ndiyo wametawala sana siasa za Nigeria,wengi wa Rais wao wanatoka huko Kaskazin
Gen Yakoub Gowon
Gen Murtala Mohamed
Gen San Abacha
Gen Abdulsalam Abubakr
Gen Babangida
Gen Buhar
Democratic elected from North
Umar Mussa ya’dur
Shehu Shagar
Sasa ni Bola Ahmed Tunubu
Population wanadanganya wahuni hao hamna kitu. That's why they killed Dr. Obadiah
Goodluck Jonathan huko aliko ataKuwa anajialaumu saba kwanini pindi ile aliachia madaraka kirahisi.. africa is africa tu..wenzake hana muda wa kuachia madaraka ni mwendo wa uhuni mwanzo mwisho.