Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Siku moja, nchi itakapokuwa kwenye utawala na mamlaka ya wenye hekima, hawa wazalendo wa kweli itabidi tuwatambue kwa majina yao halisi, ili Taifa la watu wa haki na ustaarabu, liwajalie tuzo sawa na matendo yao mema.
Hakika
 
1. Ni mamlaka gani huwa inaamua kutegeneza michongo, mamlaka ambayo hakuna chombo kingine kinaweza kuhoji? Hii mamlaka husimamiwa na chombo gani kisichoweza kutambua kwamba mamlaka hazifanya sawa?
Mamlaka kuu kulizo zote ni Dola. Hii haisimamwi na chombo chochote kile.
 
Wakili wa Serikali Robert Kidando: Mheshimiwa Jaji Shauri limekuja kwa ajili ya Kusikilizwa na tupo na Shahidi Mmoja ambaye Jana Alianza Kutoa Ushahidi Wake, Tupo Tayari Kuendelea
Kwa heshima ya mahakama na sisi watazamaji na wasikilizaji tuko tayari kuendelea.

Nakaa Chini, Jaji anaandika kidogo, mahakama iko kimya🤣🤣
 
"Shahidi: Kaka wale Mtu tatu au Nne ni Muhimu Sana, Siku zimekwisha"

Jamani,ndio meseji za Ugaidi hizi kutoka kwa mtu muhimu aliyeaminiwa kutafuta waleta taharuki?

Nani atatuletea meseji zinazosomeka mabomu tayari,wakata miti wajipange,wachoma vituo mko tayari,kikosi cha kumaliza viongozi kesho muwe tayari nk
 
nawaona wafuasi wa mboe wanashangilia kama vile wapo uwanjani wanashuhudia mechi ya mpira wa miguu!!!
Because, obviously, walisiginwa na kuguyuguzwa na kitu kizito kichwani jana; so, leo wanatarajia kuona kama watafutwa machozi. Nawatahadharisha isije kuwa kama jana kwenye mechi ya Simba SC vs. Kagera Sugar!
 
Kabla mjumbe hujatuletea habari, naomba msaada wa kujua mambo yafuatayo.

1. Ni mamlaka gani huwa inaamua kutegeneza michongo, mamlaka ambayo hakuna chombo kingine kinaweza kuhoji? Hii mamlaka husimamiwa na chombo gani kisichoweza kutambua kwamba mamlaka hazifanya sawa...
Haya naswali ni mazuri sana. Lakini! Mtu wa kuulizwa si mimi, ni Mbunge wako. Kwa wewe mtu wa Kibong'oto hilo ni jimbo la Hai mwulize Mhe. mbo...sorry, Mhe. Mafue Saasisha. Au of course kuna Mhe. Professor Mkenda wa Rombo au Dr Charles Kimei wa Vunjo, ni wema. Watakuuliza: what is mchongo, what is kuchonga? Tayarisha majibu. Watakuuliza pia uwakumbushe ushahidi wa Kamanda Urio, utawajibuje?
 
Back
Top Bottom