Mm nje nimekwenda sehemu nyingi tu duniani Kutokana na kazi yangu, jinsi navyomchukulia hakuna tofauti na msichana wa kitanzania, tulipendana tu katika Hali ya kawaida Bila kujali rangi wala status,
Nayatilia mkazo sana maonyo yenu, lakini hadi kufika hapa jukwaani nimezingatia pia tabia yetu watanzania ya kujisifu na kujiinua kuwa nimelala na mwanamke fulani, hata hapa kazini hiyo tabia ipo miaka mingi, kijana anajidai nimelala na mzungu fulani, baadae anakuja kuaibishwa kumbe ni kutaka kuonekana yupo juu,
Huyu mwanamke wangu yupo tayari kwa kikao cha pamoja ila mshikaji wangu ndio hataki anaona italeta matatizo Bila sababu
Mkuu;
Nataka niwe tofauti na wengine wote. Oa mke wako huyu. Hakuna mahali popote utaweza kupata mke asodhanganywa akadanganyika.
Ndoa ni kuaminiana tu nje ya hapo ndoa haikai siku 2. Huyo jamaa yako kaomba akakataliwa huyo, mwamini mchumbako. Yawezekana ikawa ndo bahati yako ukaipiga teke jombaa.
Kama umechapiwa ni kama ulivyomkuta mwanzo, hukumkuta bikra sasa hayo ya kutaka kujua aliupotezea wapi ubikra wake hayo ni kutaka kunusa kinyesi cha jana.
Anzia hapo mlipo. Muamini, tia pamba masikioni, chukua chuma ingiza home. Kila siku mwambiye hatari za kumfumania, atakuelewa tu mkuu. Hivi weye kweli ukimuwowa huyu mdhungu, utamruhusu aendelee na kazi jamani??
Anza sasa kumsifia pale kazini na kwamba wote waliomvua pichu hawakumuweza ila weye na ndo maana kakupa mkono wake weye. Tamba naye kuwa weye ndo kidume chake na wengine wote ni mafwala.