Workmate anadai katembea na mchumba wangu

Msikurupukie kuoa kwakuwa tu ni mzungu..
Jambo moja utambue kuwa wazungu suala la kufanya mapenz kwao wao halina wivu Wala ajabu, mzungu anaweza kugongwa na watu zaid ya watatu wa nyumba moja ambao ni marafiki wa mme wake na yeye asione ajabu na ikatokea hata mme wake kujua naye ana take easy tu. Hyo ni hulka yao..
Mzungu anaweza akawa ameolewa na baadae anaweza kucheza picha za ngono na jamii au mme wake haoni ajabu wao wanachukulia kama njia ya kujiongezea kipato..

Jambo lingne kama ww ulimchukua kirahisi kwann wenzako washindwe kumchukua kirahisi?

Mm sikushaur kitu, ww ndio mwenye uamuzi kulingana na mazingira uliyoyaona
Nimeuchukua ushauri huu
 
Kama una kifua anza naye upya tu. Watu wengi tunagongewa tena na watu ambao tunawachukulia poa ila kwa kuwa taarifa hazijatufikia tunajifanya tuko salama.

Fanya mchakato ujue kama yuko serious na hatua mnayoikaribia ukijiridhisha weka mzigo ndani huo usiogope sana
 
Mkuu unatakiwa ukae chini,na ufikirie kabla ya kufanya maamuzi......
kwanini hataki uwaone wazazi wake,kabla hamjaoana?
halafu,kwann atake kuwaona wazazi wako kabla?

Ndoa kwa jamii zetu ni kitu kitakatifu,kwa wenzetu ni kitu kingine!

kwa ulipofika in maana ushampenda,na unashindana na moyo wako
ila kwa hayo mazingira, na aina ya kazi uliyonayo......

Nachelea kusema, Huzuni na Maumivu ni rahisi kuwa rafiki yako mno,
kuliko Uaminifu,Furaha,....na mafanikio katika maisha yenu na Mzungu wako.

Hao wa mwisho ni rahisi kuwa maadui wako......Baada ya Ndoa yenu Takatifu

Ndoa Njema Doctor!
 
Nimekusoma
 
Laana ya ubaguzi itawamaliza! Eti mzunguuuu....ina maana ulikosa mwanamke wa kibena ama mmakonde? Mama yako wewe ni mzungu?
Mkuu usitafsiri hivyo, mapenzi yanaota popote na yanajitokeza ktk mazingira yoyote, hivyo mapenzi na huyu binti yanajitokeza hivyo tu sikutegeshea au kulenga kuwa nae, ni ukaribu wa kazi
 
Mkuu usitafsiri hivyo, mapenzi yanaota popote na yanajitokeza ktk mazingira yoyote, hivyo mapenzi na huyu binti yanajitokeza hivyo tu sikutegeshea au kulenga kuwa nae, ni ukaribu wa kazi
Just be smart boy, mapenzi yasikupore uwezo wa kufikiri!
 
Inaelekea umeingia Mazima kwa mzungu sio mbaya,amesema muowane june na wewe umesema september kubali september jipe mda wakujiridhisha,naombanikulize sorry lakini kama ntakua nimekukera Jee ulipokua nae mlikua mnatumia kinga au ? jengine kumbuka mwenye lake hawachi utajua tuu ..........
 
Hapana, hatukua tunatumia kinga, tuliacha kutumia baada ya kupima human immuno diffeciency syndrome (HIV), baadae tuliendelea Bila kinga

mmmmmmmmm Una hatari weye Kaka,usifanye tena lakini kwa ulio ambiwa usikubali wala usikatae nenda nae mdogo mdogo vuta mbele tarehe ya harusi...
 
Maneno ya kusemwa au kuambiwa huwa ya aina mbili.
Kweli au si kweli unaweza ukasikia kwa mtu unaemuamini au usiemuamini.
Hapo we unabaki katikati hujui pa kuanzia wala kuishia very frustrated na muda unavyoenda haya mambo hayaishi kichwani yanajirudia km series vile tofauti na ww binafsi ungewafuma maana ungeshasahau na maisha yangeendelea.
Cha kukushauri endelea nae ila km mbovu utajua tu true color yake yake
 
Cheeee kumbe hata wao n kimeo,hahaha nacheka kama mazuri anagawa tuuu, nadhani anafanya research,pole wangu ,ushaur tutatoa weeee ila mwenye uamuzi wa mwisho ni ww na kichwa yako kama utavumilia kuchapiwa kisa mzungu haya baba vumiliaga tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom