Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
23,675
21,827
Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa wanajamii wakitaka hizi tahasusi zifutiliwe mbali kwani serikali haina dini na haipaswi kuendekeza mambo ya udini hadi kuyaingiza kwenye mitaala ya elimu.

Wakati vumbi la sintofahamu kuhusu sakata hili halijatua, mdau mmoja wa elimu ametoa ufafanuzi ufuatao na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania wapenda amani wasiopenda kuchanganya dini na masuala ya elimu. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa chini:

MAONI YANGU
Namuuunga mkono huyu mwanazuoni 100% na naitaka serikali ifutilie mbali huu upuuzi kwenye mitaala ya elimu kwani unaweza kuligawa taifa pakubwa. Wewe fikiria dini ya asili na dini ya kihindu imeachwa bila kuingizwa kwenye mtaala unadhani wapagani na wahindu wataielewa serikali kwa kuwabagua kuwadharau kiasi hiki?

Pia tukumbuke hata wakristo na waislamu wamegawanyika sana. Yaani hili suala la udini litaleta mgawanyiko mkubwa sana katika taifa hili ikiwa hii serikal ya kusadikika itaendelea na msimamo wake wa kuingiza udini kwenye elimu.

Sasa hivi kila dhehebu lina biblia yake. Waumini wa Shia wana korani yao na waumini wa Ahmadiya wana korani yao pia. Aidha, korani zinazotumika Zanzibar ni tofauti na hizi zinazotumika hapa Tanganyika. Je, ni biblia au korani ipi itatumika kufundishia? Na je, itakuwa korani ya Zanzibar au ya Tanganyika? Kwa vyoyote vile serikali imefanya jambo la kipumbavu sana kuchomekea udini kwenye taaluma. Naomba wizara ya elimu iangalie upya hili suala kabla halijaigawa nchi vipande vipande.

Nawasilisha.
 
Huna hoja. Katika Tahasusi kinachofundishwa kile wanachokubaliana wote. Kwa mfano katika uislamu kuna nguzo za uslamu, nguzo za imani, nguzo za suala. Kufunga, Kuswali, kuhiji, Kwenda Maka waislamu wote wanakwenda kuhiji Maka, Kwenda madina waislamu wote wsnakwenda huko na tarehe na mwezi ni mmoja wote wakiwa Maka, kuelekea kibla, vilivyo haramu nk. Vyote hivyo na vingine vingi wanakubaliana waislamu. Hata Qur'an ni moja tu, hakuna Qur'an ya bara wala Zanzibar.
 
Suala la serikali kuingiza udini kwenye eilimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekana serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa wanajamii wakitaka hizi tahasusi zifutiliwe mbali kwani serikali haina dini na haipaswi kuendekeza mambo ya udini hadi kuyaingiza kwenye mitaala ya elimu.

Wakati vumbi la sintofahamu kuhusu sakata hili halijatua, mdau mmoja wa elimu ametoa ufafanuzi ufuatao na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania wapenda amani wasiopenda kuchanganya dini na masuala ya elimu. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa chini:

MAONI YANGU
Namuuunga mkono huyu mwanazuoni 100% na naitaka serikali ifutilie mbali huu upuuzi kwenye mitaala ya elimu kwani unaweza kuligawa taifa pakubwa. Wewe fikiria dini ya asili na dini ya kihindu imeachwa bila kuingizwa kwenye mtaala unadhani wapagani na wahindu wataielewa serikali kwa kuwabagua kuwaharau kiasi hiki?

Pia tukumbuke hata wakristo na waislamu wamegawanyika sana. Yaani hili suala la udini litaleta mgawanyiko mkubwa sana katika taifa hili ikiwa hii serikal ya kusadikika itaendelea na msimamo wake wa kuingiza udini kwenye elimu.

Sasa hivi kila dhehebu lina biblia yake. Waumini wa Shia wana korani yao na waumini wa Ahmadiya wana korani yao pia. Aidha, korani zinazotumika Zanzibar ni tofauti na hizi zinazotumika hapa Tanganyika. Je, ni biblia au korani ipi itatumika kufundishia? Na je, itakuwa korani ya Zanzibar au ya Tanganyika? Kwa vyoyote vile serikali imefanya jambo la kipumbavu sana kuchomekea udini kwenye taaluma. Naomba wizara ya elimu iangalie upya hili suala kabla halijaigawa nchi vipande vipande.

Nawasilisha.
waeza kuwa na hoja lkn si kweli Quran ni moja tanganyika na zanzibar
 
Mi sijui ni mjinga gani huyo aliyeleta upumbavu wa aina hii katika elimu yetu.
Nikimwangalia waziri wa Wizara hiyo, namwona ni mtu mwenye uelewa mzuri sana kukubali upuuzi wa aina hii kuingizwa kwenye elimu yetu.

Lakini inajulikana kunakotokea 'pressure' za namna hii. Makundi haya ya kidini yanasukuma mlango kila mara, ukilegeza tu kidogo, wanaingiza mguu. Usipokuwa mwangalifu utajikuta tayari umekwisha anzisha vurumaini ndani ya nchi.
Hawa wanaokwenda kugawa pesa toka Arabuni, kujenga makanisa, usifikiri hawajui wanachofanya.
 
Kumjua Mungu ndicho chanzo Cha Maarifa na HEKIMA na ufahamu.

Sayansi ifundishwe, BIBLIA pia ifundishwe.
Hakuna aliyekataza hizo dini kufundishwa huko makanisani na misikitini. Shule za sayansi na elimu dunia yote ni shughuli ya shule za maswala ya hapa duniani.
Serikali haina wajibu wowote kuingiza dini kwenye elimu.
 
Shuleni ndipo wanakusanyika wote, maana Si Kila mtoto huenda nyumba hizo.

By the way, Kanisani ni siku moja pekee, shule siku SITA.

Wakifundushwa BIBLIA huko, Nuru itangara Kwa vizazi vyetu.
Sasa unataka kulazimisha watu wajishughulishe na dini. Dini ni hiari ya kila mtu.
Mkuu 'Rabbon', leo vipi teana?
 
Suala la serikali kuingiza udini kwenye eilimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekana serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa wanajamii wakitaka hizi tahasusi zifutiliwe mbali kwani serikali haina dini na haipaswi kuendekeza mambo ya udini hadi kuyaingiza kwenye mitaala ya elimu.

Wakati vumbi la sintofahamu kuhusu sakata hili halijatua, mdau mmoja wa elimu ametoa ufafanuzi ufuatao na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania wapenda amani wasiopenda kuchanganya dini na masuala ya elimu. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa chini:

MAONI YANGU
Namuuunga mkono huyu mwanazuoni 100% na naitaka serikali ifutilie mbali huu upuuzi kwenye mitaala ya elimu kwani unaweza kuligawa taifa pakubwa. Wewe fikiria dini ya asili na dini ya kihindu imeachwa bila kuingizwa kwenye mtaala unadhani wapagani na wahindu wataielewa serikali kwa kuwabagua kuwaharau kiasi hiki?

Pia tukumbuke hata wakristo na waislamu wamegawanyika sana. Yaani hili suala la udini litaleta mgawanyiko mkubwa sana katika taifa hili ikiwa hii serikal ya kusadikika itaendelea na msimamo wake wa kuingiza udini kwenye elimu.

Sasa hivi kila dhehebu lina biblia yake. Waumini wa Shia wana korani yao na waumini wa Ahmadiya wana korani yao pia. Aidha, korani zinazotumika Zanzibar ni tofauti na hizi zinazotumika hapa Tanganyika. Je, ni biblia au korani ipi itatumika kufundishia? Na je, itakuwa korani ya Zanzibar au ya Tanganyika? Kwa vyoyote vile serikali imefanya jambo la kipumbavu sana kuchomekea udini kwenye taaluma. Naomba wizara ya elimu iangalie upya hili suala kabla halijaigawa nchi vipande vipande.

Nawasilisha.
Kaka/Dada
Jifunze, hakuna Quran tofauti
Ito itakuwa si Quran, Quran ni Moja tu

Yenye sura 114, Aya 6236. Uwe Suni ama Shia au Ahmadiya. As long as unasema ni Quran, ni Moja tu
 
Hakuna aliyekataza hizo dini kufundishwa huko makanisani na misikitini. Shule za sayansi na elimu dunia yote ni shughuli ya shule za maswala ya hapa duniani.
Serikali haina wajibu wowote kuingiza dini kwenye elimu.
Ukiwasikiliza wanaoitetea hiyo kitu wanasema serikali inaandaa fursa kwa watakaosoma hiyo michepuo wakaanzishe makanisa na misikiti yao kwa maana ya kujiajiri
 
Suala la serikali kuingiza udini kwenye eilimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekana serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa wanajamii wakitaka hizi tahasusi zifutiliwe mbali kwani serikali haina dini na haipaswi kuendekeza mambo ya udini hadi kuyaingiza kwenye mitaala ya elimu.

Wakati vumbi la sintofahamu kuhusu sakata hili halijatua, mdau mmoja wa elimu ametoa ufafanuzi ufuatao na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania wapenda amani wasiopenda kuchanganya dini na masuala ya elimu. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa chini:

MAONI YANGU
Namuuunga mkono huyu mwanazuoni 100% na naitaka serikali ifutilie mbali huu upuuzi kwenye mitaala ya elimu kwani unaweza kuligawa taifa pakubwa. Wewe fikiria dini ya asili na dini ya kihindu imeachwa bila kuingizwa kwenye mtaala unadhani wapagani na wahindu wataielewa serikali kwa kuwabagua kuwaharau kiasi hiki?

Pia tukumbuke hata wakristo na waislamu wamegawanyika sana. Yaani hili suala la udini litaleta mgawanyiko mkubwa sana katika taifa hili ikiwa hii serikal ya kusadikika itaendelea na msimamo wake wa kuingiza udini kwenye elimu.

Sasa hivi kila dhehebu lina biblia yake. Waumini wa Shia wana korani yao na waumini wa Ahmadiya wana korani yao pia. Aidha, korani zinazotumika Zanzibar ni tofauti na hizi zinazotumika hapa Tanganyika. Je, ni biblia au korani ipi itatumika kufundishia? Na je, itakuwa korani ya Zanzibar au ya Tanganyika? Kwa vyoyote vile serikali imefanya jambo la kipumbavu sana kuchomekea udini kwenye taaluma. Naomba wizara ya elimu iangalie upya hili suala kabla halijaigawa nchi vipande vipande.

Nawasilisha.
kitu ambacho sijaelewa ni hiki, wameandika barua ili wahesabu wanafunzi wa kiislam ni wangapi, wale wakristo wamehesabiwa?

1. kama wakiruhusu dini kufundishwa, kila watu wafundishwe kwa madhehebu yao. mfano, mimi ni mkristo, Mlokole, nisingependa kabisa mtoto wangu afundishwe dini ya padre, aende mchungaji wa kilokole akafundishe wanafunzi walokole.

2. kwenye hizo shule, wagawe madarasa, na wanafunzi wagawanywe, walokole watakuwa na darasa lao, walutherani darasa lao, anglican wanaoruhusu ndoa za mashoga wawe na la kwao, catholics wawe na darasa lao, AIC wawe na darasa lao na kina mwamposa wawe na madarasa yao.

3. Hii ni hatari sana, imeanza kuwatenga watoto kidini tangu wakiwa wadogo kabisa shuleni, wataendelea hivyo hadi watakapokuwa wazee. Samia atakuwa amekuwa rais wa kwanza kuleta utengano kwa minajili ya dini nchini hapa.

4. wale wanafunzi wanaosali pamoja, ndio watakuwa marafiki, ndio watasaidiana makazini wakimaliza shule, na wataonana ndugu kwa minajili ya dhehebu.

SAMIA ANAFIKIRI HII NCHI ANAIPELEKA WAPI? KWASABABU WAISLAM WAMETAKA BASI HATA TUKITENGA WATOTO NI POA TU? AU ANAFIKIRI HAPA NI ZANZIBAR? Huku bara tuna dini mbalimbali, na tuna madhehebu mbalimbali, na tumekuwa tukisoma pamoja bila kunyoosheana vidole kwamba huyu ni mpentecoste, huyu mkatoliki, huyu muislam, huyu mlutheran, huyu mni nini na nin, hatuna hiyo.
 
Back
Top Bottom