Kiungani
JF-Expert Member
- Feb 2, 2007
- 274
- 71
mtu unaweza jiandikia mwenyewe sms za kujitisha ili uonekane ni VIP ama ukiwa na lengo lakujitafutia walinzi kutoka serikalini na uonekane ni MAARUFU sana.
Ama unaweza chukua BASTOLA yako ukaelekea sehemu ambapo unaona hakuna shuhuda unalifyatua gari lako kwa BASTOLA yako na ku CLAIM jamaa wanakuwinda na wamekukosakosa na ili ujipatie umaarufu ama ujipatie WALINZI wa uhakika.
Haya yote ktk hili ishu ni UZUSHI kama UZUSHI wa kijiweni ,Naamini mtu akitaka kukufanyia hawezi kukupa taarifa inadvance.WULIZENI walioko ahela waliopatwa kufanyiwa kama kabla ya kufanyiwa walipewa taarifa inadvance.
Nina wasi wasi sana wenda wana siasa hawa wanapata habari hizi kwa kupigiwa lamuli ,yani kwa utabili wa vibuyu.
Mkamap, una mawazo ya hatari sana au vinginevyo ni kwamba uko so naive kwa hali halisi ya Bongo. Uwezekano mkubwa ni kuwa uko nje ya Tz na unaangalia kila kitu kwa story za jamaa wa vijiweni na kwenye JF. Pole sana.
Kubenea alitumiwa sms za threats na watu wakamfanyia kweli. Kolimba na Kombe pia, pamoja na tahadhari zote walizochukua. Kuna viongozi kibao sasa hivi wanatembea na hata maji ya kunywa kwenye magari yao, kwa kuwa hawaamini mtu. Kula ovyo ovyo ndiyo sahau tena.
Kwa kuwa umeshasema mtu anaweza kujitumia sms, hata ukipewa ushahidi bado si atakuwa kajitumia na card katupa?