Wiki moja kabla ya Machozi... Zitto???

Mwanakijiji,

Nakuaminia mkuu... una uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja zisizokuwepo...

Hili nakuvulia kofia kwa mara nyingine tena... Kama ulivyodai kuonyeshwa picha ya Marungu kutoka kwenye ile thread nyingine.

Unaonaje ukatuwekea picha ya hiyo message?
 
Mwana Kijiji unanitisha sasa, hivi kama ni kweli mambo yenyewe ndo haya tutafikia malengo kweli?? Kama anapotokea shujaa wa kutupigania sisi watoka vumbi alafu baada ya muda watu wenye nia mbaya na nchi hii wanataka kuwaondoa duniani itakuwaje??
Muogopeni Mungu jamani, mnasahau kuwa kila nafsi itaonja mauti, uharamia mnaotaka kuufanya hapa duniani angalau tu muendelee kujinufaisha nyie na familia zenu kwa kisingizio cha kulinda maslahi ya nchi ni mbaya sana kweli kabisa ni mbaya sana, any way wacha niendelee kuamini kuwa MUNGU ANA MAKUSUDI YAKE KWA KILA JAMBO

nakuabia kama sisi ni wanamapinduzi basi tuyafanye kwa nguvu zote ili jkuhakikisha haya mapambano ya kifikra ni mkakati usioshindwa.siku zote tuwe tayari kufa ilimradi tusiwe tayari kuua. Che Guevara ,Mwanamapinduzi wa Cuba mwenye asili ya Argentina aliwahi kusema,Mapinduzi yoyote ya kweli ni lazima yawe na back up ya upendo.

nina uhakika hawatakaa wawamalize wanaharakati wote but we can guarantee stress and frustration kwa hao mafisadi na maharamia kila kukicha maanke watafikiri wamemaliza kazi kumbe bado wanaharakati kibao wanaibuka
 
Mwana Kijiji unanitisha sasa, hivi kama ni kweli mambo yenyewe ndo haya tutafikia malengo kweli?? Kama anapotokea shujaa wa kutupigania sisi watoka vumbi alafu baada ya muda watu wenye nia mbaya na nchi hii wanataka kuwaondoa duniani itakuwaje??
Muogopeni Mungu jamani, mnasahau kuwa kila nafsi itaonja mauti, uharamia mnaotaka kuufanya hapa duniani angalau tu muendelee kujinufaisha nyie na familia zenu kwa kisingizio cha kulinda maslahi ya nchi ni mbaya sana kweli kabisa ni mbaya sana, any way wacha niendelee kuamini kuwa MUNGU ANA MAKUSUDI YAKE KWA KILA JAMBO

Sorry dude you left me behind Tanzania tuna malengo gani?

Jamani, Tanzania hii tunakwenda wapi?

Na wewe kwani tulikuwa tunaelekea wapi maana we have always been stuck!
 
With due respect!hivi huyu Zitto hata hapa JF ana wapambe au ndio tumesahau jukumu letu la kutetea maslahi ya wadanganyika? maana even a blind can see that he's being pampered.Achilia mbali kina Lipumba hata Prof.Wangwe amekana taarifa yake ya hali ya mazishi ya MP Wangwe.Pamoja na Mzee Mwanakijiji kumpamba kwa matukio ambayo hayawezi kuwa accounted for, ukweli unabaki hakusema ukweli kuhusu kukichojiri Tarime.Na sijui kama huyu anaweza kusimama kama mtetezi wa wadanganyika,he's simply not credible.

Hii inaboa dah, hebu wadanganye wenzako hapo udsm....CC
 
Sorry dude you left me behind Tanzania tuna malengo gani?

Jamani, Tanzania hii tunakwenda wapi?

Na wewe kwani tulikuwa tunaelekea wapi maana we have always been stuck!

Kuna kipindi kilikuwa kinarushwa na Radio Tanzania ama Radio One nadhani saa mbili na robo usiku cna wimbo wa kuanzia kipindi ulikuwa Unasema,
"Geuza, geuza cmwendo. Kipindi cha Vijana...." mengine nimesahau...

Tanzania we have been stuck long enough and it is not part of my plan to remain stuck forever... katika hili dimbwi!
 
Mwanakijiji,

Nakuaminia mkuu... una uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja zisizokuwepo...

Hili nakuvulia kofia kwa mara nyingine tena... Kama ulivyodai kuonyeshwa picha ya Marungu kutoka kwenye ile thread nyingine.

Unaonaje ukatuwekea picha ya hiyo message?

absolutely... police got it!
 
With due respect!hivi huyu Zitto hata hapa JF ana wapambe au ndio tumesahau jukumu letu la kutetea maslahi ya wadanganyika? maana even a blind can see that he's being pampered.Achilia mbali kina Lipumba hata Prof.Wangwe amekana taarifa yake ya hali ya mazishi ya MP Wangwe.Pamoja na Mzee Mwanakijiji kumpamba kwa matukio ambayo hayawezi kuwa accounted for, ukweli unabaki hakusema ukweli kuhusu kukichojiri Tarime.Na sijui kama huyu anaweza kusimama kama mtetezi wa wadanganyika,he's simply not credible.

Who is not credible?

Je unaweza kutuambia ni nani wadhani ni credible and anaweza kutetea/kuwa mtetezi wa Wadanganyika?...as you put it.
 
Ka Inzi hako wasije wakakimwagia dawa ya Expel kikafa kipatie expel proof MKJJ

Pole Mh. ZK
Ngoma Nzito, ina maana Mwana Kijiji aangelikuwa mtu mwenye asili ya Poland (Polish), hii JOKE ingelimfaa?? (samahani kuchanganya mambo).

A Polish man married a Canadian girl after he had been in
Canada a year or so and, although his English was far from
perfect, they got on very well. Until one day he rushed
into a lawyer's office and asked him if he could arrange a
divorce for him-"very quick".

The lawyer said that the speed of getting a divorce would
depend on the circumstances and asked him the following
questions:

LAWYER: Have you any grounds ?

POLE: JA, JA, an acre and half and a nice little home
with 3 bedrooms.

LAWYER "No," I mean what is the foundation of this case?"

Pole: "It is made of concrete, brick and mortar," he
responded.

LAWYER: "Does either of you have a real grudge?"

POLE: "No," he replied, "We have a two-car carport and
have never really needed one."

LAWYER "I mean, What are your relations like?"

POLE: "All my relations are in Poland."

LAWYER: "is there any infidelity in your marriage?"

POLE: "Yes, we have hi fidelity stereo set ?DVD player
with 6.1 sound. We don't necessarily like the
music, but the answer to your questions is yes."

LAWYER: No, I mean Does your wife beat you up?

POLE: NO, I'm always up before her.

LAWYER: Is your wife a nagger?

POLE: NO, she white.

LAWYER: WHY do you want this divorce?

POLE: SHE going to kill me.

LAWYER: What makes you think that?

POLE: I got proof.

LAWYER: What kind of proof?

POLE: She going to poison me.She buy a bottle at the
drug store and put on shelf in bathroom. I can
read - it says, "Polish Remover".
 
Ehhh,
Nilishasikia jamaa aliyekuwa MWOGA sana wa kusafiri na ndege. Ila ilifika wakati ikamlazimu aende USA. Aliomba na kusali wee hadi akaenda na kurudi salama nyumbani kwao. Aliporudi tu akapata ajali ya GARI na KUFA hapo hapo.
Ka-INZI katakuja kufa tu kama sisi wote humu ndani. Kama Mungu kakapangia kufa kwa mkono wa MAFISADI, basi hata kasipoandika, kataondoka hata kwa bahati mbaya maana mjinga mmoja kachanganya namba ya mlango wa hoteli badala ya 66, MALLYA type akasoma 99.
 
Kuna kipindi kilikuwa kinarushwa na Radio Tanzania ama Radio One nadhani saa mbili na robo usiku cna wimbo wa kuanzia kipindi ulikuwa Unasema,
"Geuza, geuza cmwendo. Kipindi cha Vijana...." mengine nimesahau...

Tanzania we have been stuck long enough and it is not part of my plan to remain stuck forever... katika hili dimbwi!

We Wadanganyika as have addressed by Mujuni should be dynamic coz our country is stuck.
In no time we will be named one of the failed states in the world!
 
Du...

Naona Sikonge umeanza na njama zako za kumwaga unga unga hapa Jamvini.
Mzozo wa Mizozo,
Nimeomba kabisa msamaha kwa kuchanganya mambo. Hiyo story imenikumbusha hiyo JOKE. Sahamani kwa wote watakaofikiri nina-CHENGE hii thread. Ila niliandika kabisa kuwa ni JOKE na kisa cha kuomba msahama ni kuiweka mahala isipokuwa pake. Anyway, tuendelee na MJADALA wenyewe na kuacha hiyo JOKE. Hata kazini huwa kuna KITUO/Break au JKT ni 5 bora.
 
Mkuu Heshima kubwa kwako,

kwa kweli hata mimi limenishtua lakini nikuhakikishie jambo moja mkuu wangu,Hilo jambo au wazo la wao kutaka kuua wanaharakati wote wa kupambana na ufisadi,ukandamizaji,unyonyaji,Dhuluma na hila chafu halitafanikiwa.Huo ni mkakati ambao umeshindwa kwani hata sasa kuna watu ambao wamejitolea kwa hali na mali kuhakikisha mapinduzi au mageuzi makubwa ya kisiasa na kiuchumi yanatokea nchini.

Natamani kama siku moja kila mmoja akiogopa kufa na kuamua kabisa kusimama kidete kwa njia yoyote iwe ni kugombea udiwani,ubunge,kuanzisha NGO za kutoa elimu ya uraia au za kuchochea mageuzi ya kifikra kwa wananchi ili mradi unatoa mchango wa kupambana na maadui wa taifa letu.hii iwe ni vita ya kupambana na ufisadi popote pale katika taifa hili.Huu umafiosoo wao utashindwa vibaya sana maanke sijui wataua wangapi.

Kama kweli hawa jamaa wamejipanga kuua basi wanachezea moto. Hakuna mlinzi mkubwa kwa wapambanaji kama kuwa na "hopeless people like what's happening in our country now" they don't fear death. SWALI NI JE HAWA WAPANGA MAUAJI WANA WALINZI WA KUTOSHA KWAO NA FAMILIA ZAO?
 
Unajua nini mimi siamini ni watu kwa niaba ya serikali au CCM; naamini kuna mtandao wa uhalifu (organized crime group) ambao hawatasita kufanya kweli kwa mtu YEYOTE awe CCM, upinzani, kanisa, serikalini, mtaani n.k as long as kwamba wanamuona mtu huyo ni tishio kwao na maslahi yao.
 
Swali ni je, vyombo vyetu vya usalama vinaliona hili?
Inanikumbusha riwaya za Mzee Beka (kwenye magazeti ya kiu ya jibu).
 
Unajua nini mimi siamini ni watu kwa niaba ya serikali au CCM; naamini kuna mtandao wa uhalifu (organized crime group) ambao hawatasita kufanya kweli kwa mtu YEYOTE awe CCM, upinzani, kanisa, serikalini, mtaani n.k as long as kwamba wanamuona mtu huyo ni tishio kwao na maslahi yao.
MJJ,
Ukiangalia historia ya ujenzi wa majengo, utaona kuwa mwanzo walikuwa wakichora mazuri tu ila siku zinavyokwenda wanakuwa kama JIMAMA zee. Linajipamba wee ila bado linaonekana JIMAMA. Huu huwa mwanzo na mwisho wa system fulani.
Hawa jamaa, watauwa, watatishia, watahonga na kufanya kila aina ya vituko. Ila inabidi wakumbuke kuwa HUWEZI KUWADANGANYA WATU MILELE. Kila kitu huanza na kuisha. Nyerere alijua kuwa dunia inabadilika baada ya kuona kuwa Russian inaanguka. Wengine wanaona JMK anaanguka, wao ndiyo wanakaza kamba. Hawa ndiyo huisha kumalizwa kama yule rais wa Rumunia au Liberia. Hivi kwa nini watu wanakuwa wabishi kama Farao? Au niyo hadi watto wao FIRST BORN wafe?????
 
Mwana Kijiji unanitisha sasa, hivi kama ni kweli mambo yenyewe ndo haya tutafikia malengo kweli?? Kama anapotokea shujaa wa kutupigania sisi watoka vumbi alafu baada ya muda watu wenye nia mbaya na nchi hii wanataka kuwaondoa duniani itakuwaje??
Muogopeni Mungu jamani, mnasahau kuwa kila nafsi itaonja mauti, uharamia mnaotaka kuufanya hapa duniani angalau tu muendelee kujinufaisha nyie na familia zenu kwa kisingizio cha kulinda maslahi ya nchi ni mbaya sana kweli kabisa ni mbaya sana, any way wacha niendelee kuamini kuwa MUNGU ANA MAKUSUDI YAKE KWA KILA JAMBO

Hii ndiyo faida ya kuwa na CORRUPTED PRESIDENT. Hana jinsi ya ku-survive for the nxt election than KUHALALISHA UNYANG'AU huu. SISIEMU iko tayari kusababisha umwagaji damu kwa jinsi yoyote ile as long as wanabaki kwenye viti vyao. Siamini kama kuna mtu ataniuliza ushahidi maana mwenye macho haambiwi TAZAMA. Hii ni hatari sana kwa Taifa kama JK hasipobadili tabia na style yake hiyo ya uongozi.
Vilevile tunasubiri CREDIBILITY ya SISIEMU na serikali yake kuhusu uchaguzi wa Zimbabwe.
 
Linalosikitisha na kukera zaidi ni kuwa mafioso kila mara wako hatua moja mbele zaidi. Lakini linalofunga kazi ni kuwa sisi wenyewe tunatumiwa kufanikisha mipango yao bila kujua na hivyo kuyapa baraka matendo yao. Wakiwa wamekaa kwenye meza iliyojaa manono sisi tunabakia chini ya meza tukigombania makombo tunayotupiwa.

Kwa kanga na kofia tunauza utu wetu, uhuru wetu na haki yetu halafu tunajidai na kujigamba - oh, tuna amani tuna amani - kama vyura kwenye dimbwi pasipo kujiuliza tutakuwa wapi dimbwi likikauka na kiangazi kinakuja. Tunajaribu kupingana na wanafilosofia walionena tangu zama kuwa amani haiji ila kwa ncha ya upanga. Kama manyang'au yasiyo na akili tumebakia kusubiri mkono wa binadamu udondoke !!!

Wananchi tuko mateka na kila wakati moja wetu anapojaribu kujikwamua, wengine wetu tunamkamata kumzuia asijinasue na tubaki naye hapo hapo. Kwani ni wapi kwingine wananchi wake wangeweza kuvumilia viongozi wao kuwazuga kama tunavyozugwa asubuhi, mchana na jioni siku hadi siku, juma hadi juma,mwezi hadi mwezi na mwaka hadi mwaka. Kama kuna taifa la mazezeta, nchi yangu imetia fora.

Humu JF huhitaji miwani kushuhudia huu uzezeta. Watu wengine bwana.......
Keep up the fight MKJJ.
 
Back
Top Bottom