Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,971
- 3,197
Imba nakutengenezea beat kabsaa"Sample ya wimbo"
Verse1.
Moyo wangu kama kambi,
La kutunza wakimbizi,
Wanatimua mavumbi,
Hakuna hata mlowezi,
Hakuna hata wa kukaa,
Kila mtu ni balaa,
Haraka ninawasha taa,
Nimpate wa kunifaa.
Corus( hello hello! True lover, jitokeze kucover×2)
By Alana Mwanafasihi