Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,856
3,573
View attachment 3274971
Screenshot_20250318-120203~2.png
 
Ninavyo viwili vya alcatel battery imevimba na nimekosa pakupata hiyo battery
Utakuta feki nao hawajiongezi
Yaani makampuni makubwa hivyo wanaleta magumashi kwenye hela za watu.

Mimi huku nje ya nchi ninayo Alcatel, mtandao wa O2 nazunguka nchi nzima inadunda tu na sasa mwaka wa 3 ninako
Nalipia £30 kwa mwezi kama laki moja Unlimited piga ua
17423008591794169957708294687259.jpg
 
Back
Top Bottom