WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

Sasa Hata makato ya HELSB yatakuwa yameisha Kweli 🤣
Au atayamalizia Akiwa Mtaani baada ya Kustaafu..?

HAmuoni kuwa mtatengeneza mazingira ya Rushwa makubwa na Mtu kuharibu kazi kwa makusudi akijua muda wake umekaribia kuisha?
Kwani Rushwa kiasi gani inatembea na ufisadi wa miaka 60 ya kazini unaofanyika sasa. Yapi madhara sasa kuweka wezi kazini kwa miongo 6 au kuwa phase out kila baada ya muongo mmoja.
 
Kwani Rushwa kiasi gani inatembea na ufisadi wa miaka 60 ya kazini unaofanyika sasa. Yapi madhara sasa kuweka wezi kazini kwa miongo 6 au kuwa phase out kila baada ya muongo mmoja.
Huoni kama Mtu anayekaa Muda mrefu anapunguza idadi ya Rushwa kulilo anayekaa muda mfupi..
Unasahau kuhusu Rushwa za wanasiasa ambao wanakaa Madarakani kwa Miaka mitano? Vipi kuhusu Ufisadi wao?
 
Yaan tuanzie kijana anaitaka nafasi ya mtu mwingine.badala ya serikali kuwezesha kuleta kwenye uchumi uwekezaji zije ajira mpya ,yaan chakula hakitoshi kwenye harusi suruhisho ninkila mtu ale nusu sio chakula kiongezwe??? Huu ni ushauri wa kukata tamaa kabisa .
Ifahamike hata hao ukiwastaafisha miaka 50 nao sio kuwa watajiajiri wataanza tafuta kazi tatizo hapa ni
1.sekta binafsi haijawezeshwa kuzalisha ajira ili kuondoa nakisi
2.serikali haijaweka mikakati ya vijana kupata mtaji wakuweza kujiajiri
3.vijana hawana uwezo sio kuwa wajinga bali elimu wqnayopewa haijawaandaa kujiajiri bali kuwa mabank teller na mameneja .

Aidha nikuongezee muajiriwa huwa anakuwa mzuri kadili anavotumikia muda mrefu kuanzia kuwa na uzoefu ,kuwa wanamjua in and out kuwa anakuwa more commited .ofisini kwangu baada ya interview ya wahasibu 1000 tuliajiri watatu mwaka huu .yaan ukikaa nao stori zao ni kununua subaru kula bata kutafuta mtaji kujiajiri.wakati hawa wenye 50 wao huzungumzia malezi ya watoto wao ,kupandishwa cheo na mshahara .unazani muajiri atampenda nani?
Hawa tulionao tulikuwa na wahasibu 10 wa4 walisharesgn kwa kuiba mara kupata ajira ingine etc ila hawa wakongwe 6 yaan they are here to stay na unaona kabisa wanaipenda kampuni mpaka baa wanava tshet za kampuni
Sasa utatafuta kazi ilihali una mtaji?😂 Mtu huyo akiingia kwenye forex kwa mtaji wa million 5 tu hawezi kufilisika kamwe mradi awe na strategy nzuri ya kukuza mtaji.
 
Huoni kama Mtu anayekaa Muda mrefu anapunguza idadi ya Rushwa kulilo anayekaa muda mfupi..
Unasahau kuhusu Rushwa za wanasiasa ambao wanakaa Madarakani kwa Miaka mitano? Vipi kuhusu Ufisadi wao?
Rushwa na maadili ni rahisi kuya control ikiwa kazi ni ya mkataba mfupi kuliko mkataba wa kudumu.
Hayo maufisadi mbona usiyasikie NMB au CRDB? Unajua sababu hasa ni ipi?
 
Serikali haiwazi vijana kupata ajira, inachowaza mtu akistaafu akiwa na 45 atakula kiinua mgongo hadi aje kufa na 70 sio leo.
 
Sasa utatafuta kazi ilihali una mtaji?😂 Mtu huyo akiingia kwenye forex kwa mtaji wa million 5 tu hawezi kufilisika kamwe mradi awe na strategy nzuri ya kukuza mtaji.
Kaka asilimia 90+ ya wanadamu hawawezi kuendesha biashara na ndo formula ya asili maana tunahitaji wengi wawe wafanyakazi kuliko matajir ndo formula
Sasa utatafuta kazi ilihali una mtaji?😂 Mtu huyo akiingia kwenye forex kwa mtaji wa million 5 tu hawezi kufilisika kamwe mradi awe na strategy nzuri ya kukuza mtaji.
 
Ajira serikali inatakiwa kuwa miaka 18 tu isipokuwa kwa wachache walio chaguliwa kwa ufanisi wao na ubora wao na ndani ya hiyo miaka 18 mkataba uwe ni miaka 6 una sahini tena miaka 6 na baada ya hapo una sahini tena 6 ya mwisho
Hebu acheni kuwaonea gele watumishi maisha yao na mifumo yao ni wao na serikali .wasio na ajira hayawahusu.kinachowahusu ni kuibana serikali iipe nguvu sektabbinafsi ilete ajira mpya
 
Hiko halimalizi tatizo, sema litatengenezwa tatizo la watu wazima wengi kuwa jobless pia.Hao wote watakaostaafu automatically wanaenda kuwa jobless.
Pili serikali ni watu sio hewa, thus hawawezi wao wakajihujumu, kujipunguzia miaka ya ulaji - NEVER
Kwanini wasijiajiri ? ,Wao wanapowakoromea graduates wasio na mitaji wala support ya kifedha wajiajiri ndio upuuzi gani ,yaani jitu limefanya kazi miaka yote hiyo linakosa hela ya kufungua miradi wa kujiajiri mtaani ?
Au ndio ile kuhubiri msichokiamini ,kuwaambia jobless youths wajiajiri wakati ninyi hajawahi kujiajiri hata kwa kuuza ubuyu pamoja na kupokea mishahara na posho kila mwezi kwa miaka yote hiyo
 
Back
Top Bottom