WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 . Ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbali mbali .
Unadhani kupunguza umri wa kustaafu ndio kutatatua tatizo la ajira?
Emb think again kaka, bado sana.

Hata serikal iseme ni mwaka mmoja, hakutokuwa na nafuu namna yoyote ile
 
Serikali Haina pesa za kulipa wastaafu.
Fikiria hata Hawa wanao staafu sasa wakiwa na miaka 60,wanalipwa pension baada ya miaka miwili.

Je wakisema walio fikia 45-60 wastaafu wataweza kuwalipa kwa mkupuo?
Pia kustaafu mapema sio suluhisho la ajira.
 
hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 . Ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbali mbali .
Hakuna tatizo hapo, kwenye kustaafu miaka 60, hata huyo kijana akiajiriwa atatamani adumu kwenye ajira hadi umri wa miaka 60. Sidhani kama atafurahia kuondoka mapema.
 
Kichocheo cha Ajira ni kuiamsha Sekta Binafsi kwa kuchochea uwekezaji unaowanufaisha Watanzania.
Tatizo kuu la ajira Tanzania ni serikali kugombana na kuua sekita binafsi badala ya kui sapoti muasisi wa hizo fikra za kuona sekita binafsi kama adui nia late JPM, na kweli nyingi zilikufa kabisa pesa za watu ziliporwa nk ukiangalia tatizo la ajira Ug na Kenya sio kubwa kama Tanzania kwanini? Sekita binafsi zina nguvu sanaa.
 
Unadhani kupunguza umri wa kustaafu ndio kutatatua tatizo la ajira?
Emb think again kaka, bado sana.

Hata serikal iseme ni mwaka mmoja, hakutokuwa na nafuu namna yoyote ile
ila kuna kitu kitaongezeka kaka amini kwamba ... we asume mtu kaingia na miaka 25 maybe afu afanye kazi miaka 35 mingine kuna idad kubwa sana hapo ya vijana wenye taalum kam yake watakua wamehitimu masomo wanaitaka na wao iyo nafas afu wanaostaafu ni wachache . so kwa kupunguza umri naamin wataongezeka ili vijana nao wapate nafas
 
Tatizo kuu la ajira Tanzania ni serikali kugombana na kuua sekita binafsi badala ya kui sapoti muasisi wa hizo fikra za kuona sekita binafsi kama adui nia late JPM, na kweli nyingi zilikufa kabisa pesa za watu ziliporwa nk ukiangalia tatizo la ajira Ug na Kenya sio kubwa kama Tanzania kwanini? Sekita binafsi zina nguvu sanaa.
kweli kabsa sio kwamba Tz hatuwezi ondoa changamoto ya ajira hapana vile mipango na mikakati haipo sekta binafs plus government kwa pamoja vinaweza maliza au punguza hii changamoto
 
Back
Top Bottom