Waziri wa Uchukuzi, Prof. Mbarawa: Kasi ya Mkandarasi Mradi wa SGR imepungua, yupo nyuma kwa 10%

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
3,717
13,467
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR eneo la Makutupora - Tabora na kusema “Kazi inaendelea vizuri ingawa kuna changamoto kadhaa, kubwa ikiwa ni kasi ya mradi ambayo tuliitegemea imepungua, leo tulitegemea Mradi ufikie takribani 22% lakini tupo katika 12%, tukijipanga vizuri tunaweza rejea katika mpango kama kawaida.”

Aidha, ameongeza kuwa Serikali haijatafuta Mkandarasi mwingine kwa kuwa aliyepo sasa hajatoa taarifa ya kushindwa kazi, hivyo, wanaendelea kumfuatilia kwa ukaribu ili kupata kazi inayoendana na thamani ya fedha.

Pia soma:

- Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa

- Mkandarasi Reli ya SGR asema sababu za Wafanyakazi kutoingiziwa malipo ya NSSF ni kwa kuwa kuna makubaliano maalum

- Mkandarasi SGR anataka kutupunguza 50% ya Wafanyakazi wakati hajatuingizia fedha za NSSF miezi 9
 
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR eneo la Makutupora - Tabora na kusema “Kazi inaendelea vizuri ingawa kuna changamoto kadhaa, kubwa ikiwa ni kasi ya mradi ambayo tuliitegemea imepungua, leo tulitegemea Mradi ufikie takribani 22% lakini tupo katika 12%, tukijipanga vizuri tunaweza rejea katika mpango kama kawaida.”

Aidha, ameongeza kuwa Serikali haijatafuta Mkandarasi mwingine kwa kuwa aliyepo sasa hajatoa taarifa ya kushindwa kazi, hivyo, wanaendelea kumfuatilia kwa ukaribu ili kupata kazi inayoendana na thamani ya fedha.

Pia soma:
- Mkandarasi Reli ya SGR asema sababu za Wafanyakazi kutoingiziwa malipo ya NSSF ni kwa kuwa kuna makubaliano maalum

- Mkandarasi SGR anataka kutupunguza 50% ya Wafanyakazi wakati hajatuingizia fedha za NSSF miezi 9
 
Wako wapi wale mashabiki maandazi?!!!

Waliandamana kwa furaha kuwa wale waturuki Yepi Merkez "wamefulia" na hawaendelei na mradi

#Pindipo inapowafikia hoja ichunguzeni Kwanza ili msije mkawadhuru wasio na hatia
 
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR eneo la Makutupora - Tabora na kusema “Kazi inaendelea vizuri ingawa kuna changamoto kadhaa, kubwa ikiwa ni kasi ya mradi ambayo tuliitegemea imepungua, leo tulitegemea Mradi ufikie takribani 22% lakini tupo katika 12%, tukijipanga vizuri tunaweza rejea katika mpango kama kawaida.”

Aidha, ameongeza kuwa Serikali haijatafuta Mkandarasi mwingine kwa kuwa aliyepo sasa hajatoa taarifa ya kushindwa kazi, hivyo, wanaendelea kumfuatilia kwa ukaribu ili kupata kazi inayoendana na thamani ya fedha.

Pia soma:
- Mkandarasi Reli ya SGR asema sababu za Wafanyakazi kutoingiziwa malipo ya NSSF ni kwa kuwa kuna makubaliano maalum

- Mkandarasi SGR anataka kutupunguza 50% ya Wafanyakazi wakati hajatuingizia fedha za NSSF miezi 9
Nyie mnadhani chanzo cha mapungufu hayo
 
Anamung'unya maneno si aseme tuu kwamba mkandarasi kafilisika?

Mwisho hata wakiacha sawa tuu hilo li Sgr ni tembo mweupe.
 
Back
Top Bottom