mdalamishi
Senior Member
- Apr 15, 2023
- 190
- 187
Hii Kali ya mwaka duh samahani mkuu unaweza kuthibitisha Kwa mfano mmojaHakuna lolote, Muslim is a satanic religion
Hii Kali ya mwaka duh samahani mkuu unaweza kuthibitisha Kwa mfano mmojaHakuna lolote, Muslim is a satanic religion
Thibitisha Allah ndo anatoa pumzi kwa wachawi.Allah Ni mwingi wa rehema humpa pumzi hata mchawi na jambazi we unataka ue tu? Allah hufanya Jambo kwa sababu maalum
Kwanza kabisa. Thibitisha Allah yupo.Allah Ni mwingi wa rehema humpa pumzi hata mchawi na jambazi we unataka ue tu? Allah hufanya Jambo kwa sababu maalum
Msiwidi hali si yule aliyeomba hifadhi ya ukimbizi.Mswidi halisi maana yake nini?
Huyu si mtu wa kwanza kuchoma Quran Sweden.
Waswidi wanaruhusu kuchoma Quran. Yes or No?
Hapana.Msiwidi hali si yule aliyeomba hifadhi ya ukimbizi.
Awe wa kwanza awe wa mwisho ndiyo kwanza wanauzidisha kuutangaza uislam.
Waswidi hawaruhusu kuchoma msahafu.
![]()
Sweden government condemns ‘Islamophobic’ Quran burning
Foreign ministry denounces ‘Islamophobic acts’ and says they are not reflective of the government’s views.www.aljazeera.com
Ngoja tusubiri matokeo siku si nyingi itabaki history tu kuwa Kuna nchi ilikua inaitwa Sweden Mungu hajaribiwi.
Ukiwa na kitabu unachoamini kina maneno ya Mungu wa kweli basi unaye Mungu, hivyo basi kuchoma kitabu hicho ni kumchoma Mungu, ndiyo Mungu anawaona, hao wanaochoma lakini wewe unaeona haikuimizi, huoni vibaya Mungu wako kuchomwa? Sidhani kama ni sahihi.Uhuru wa kujieleza. Marekani huwa wanachoma bendera yao, ni sehemu ya uhuru wa kujieleza.
Kwani wakichoma Quran, Allah atakufa?
Mbona watu wanakuwa sensitive hivyo?
Ile Quran si makaratasi tu?
Au mnaabudu Quran?
Waislamu wanamuabudu Allah au wanaiabudu Quran?
Mungu wa kweli ni yupi?Ukiwa na kitabu unachoamini kina maneno ya Mungu wa kweli basi unaye Mungu, hivyo basi kuchoma kitabu hicho ni kumchoma Mungu, ndiyo Mungu anawaona, hao wanaochoma lakini wewe unaeona haikuimizi, huoni vibaya Mungu wako kuchomwa? Sidhani kama ni sahihi.
Kwanza unachoma ili iwe nini? Wapo wanaosema kwani kikochomwa Mungu anakufa? Ni kweli hafi lakini anakasirika ,ni nani awezaye kusimama ktk gadhabu ya Mungu. Tunatakiwa kumuomba sana Mungu hasira yake isiujie ulimwengu
sijasema nataka ala anigawie pesa ila ulishawahi skia ala anagawa pesa? kama hujawahi siikia acha wazichome hakuna wakuwapangia matumizi yajasho lao
Kiranga acha kamba na kukariri ujinga, uswidi ni uraia na utamaduni!Hapana.
Uswidi ni uraia, utamaduni.
Mtu aliyezaliwa na kuishi miaka mingi Uswidi anaweza kuzembea katika kuwa Mswidi.
Halafu, mkimbizi aliyekuja Uswidi kutoka Iraq miaka michache iliyopita, akampita katika kuwa Mswidi yule mzawa.
Usikariri.
Islamophobia ni kuuchukia Uislamu bila sababu.
Mtu akiuchukia Uislamu akakueleza kwamba anauchukia Uislamu kwa sababu unakandamiza wanawake, unaeneza ujinga, unajipa umuhimu usiopo unataka kutawala dunia, hiyo si Islamophobia, hiyo ni philosophical argument.
Kiranga acha kamba na kukariri ujinga, uswidi ni uraia na utamaduni!
Swedes (Swedish: svenskar) are an ethnic group native to the Nordic region, primarily their nation state of Sweden, who share a common ancestry, culture, history and language.
Waswedi (Kiswidi: svenskar) ni kabila la asili katika eneo la Nordic, hasa taifa lao la Uswidi, ambao wanashiriki asili moja, utamaduni, historia na lugha.
Hapana kulazimisha katika Dini. Mtu yupo huru kuamini au kutoamini chochote lakini usitukane na kukashifu wengine.
Islamaphobia ni woga, chuki, au chuki dhidi ya dini ya Kiislamu au Waislamu kwa ujumla, hasa inapoonekana kama nguvu ya kijiografia au chanzo cha ugaidi. Upeo na ufafanuzi sahihi wa neno Islamophobia, ni mada ya mjadala.
Nadhani umeshapata jibu la swali lako la mswidi halisi."Every fourth (24.9%) resident in the country has a foreign background and every third (32.3%) has at least one parent born abroad. The most common foreign ancestry is Finnish.[4]"
![]()
Demographics of Sweden - Wikipedia
en.wikipedia.org
Karibu robo ya wakazi wa Uswidi wana asili ya nje.
Karibu theluthi ya wakazi wa Uswidi wana angalau mzazi mmoja aliyezaliwa nje ya Uswidi.
This is a very multicultural society.
Hapo kuna raia wengi sana wamezaliwa nje. Ethnically si Waswidi. Lakini ni raia wa Sweden. Hao utasema si Waswidi?
Tofautisha Uswidi ethnicity na Uswidi uraia. Kuna mpaka Wafini (ethnically) walio raia Wa Uswidi. Kuna Wasomali kibao (ethnically) raia wa Uswidi. Dunia imegeuka multicultural, wewe umebaki kwenye Uswidi wa ethnicity.
Unasema mtu yupo huru kuamini au kutoamini chochote. Hakuna kulazimishana. Haya, huyo kaamini kuchoma Quran. Quran yake mwenyewe, wala hakuiba. Mbona unamlazimisha asichome?
Akichoma Quran halafu wewe ukampotezea tu kama mjinga, utapoteza nini? Allah atakufa? Unamuabudu Allah au unaiabudu Quran? Huoni hapo unaingia kwenye kuabudu sanamu? Huoni hapo unaabudu kitabu badala ya kumuabudu Allah? Huoni hiyo kama shirki?
Unamlazimishaje mtu asitukane au kukashifu dini nyingine? Huoni hapo ushamuingilia uhuru wake?
Islamophobia ni chuki au woga dhidi ya Uislamu bila sababu, irrational. Phobia is irrational fear.
Once one gives rational reasons why he hates Islam, like Islams oppression of women, or ambition to rule everyone on earth, then that fear becomes rational, it is no longer a phobia, it is no longer Islamophobia.
Nadhani umeshapata jibu la swali lako la mswidi halisi.
Hivi Kiranga nikisema imani yangu ni kuamini kuwa wewe ni mjinga, wewe ni mshenzi, wewe ni mpumbavu, wewe ni shoga, wewe ni bwege, je nitakuwa ninatumia uhuru wangu kwa kukutukana wewe? Huoni nitakuwa nimefanya kosa la kisheria na la kiungwana kama mtu mstaarabu?
Lazima tutofautishe kati ya uhuru wa kuamini na ufedhuli wa kutukana watu wa imani tofauti na wewe.
Wewe unataka mtu achome msahafu halafu aangaliwe tu? Je unajua thamani ya msahafu kwa waislamu? Ikiwa kwako na watu wengine msahafu si kitu, basi kwa waislamu na watu waungwana kitabu cha dini kina thamani kubwa. Ulishawahi kujiuliza tu mfano mwanchama wa Chadema aichome moto katiba ya CCM nini kitachofuata? Uchomaji wa vitabu vya dini ya watu waliyotofauti na wewe tena mbele ya nyumba ya ibada yao na katika sikukuu yao, huo unauita uhuru? Kama si ufedhuli na kiburi kwa nini asingefanya hivyo bila ya hifadhi ya askari?
Unakiri dunia imekuwa multicultural place kwanini watu wanashindwa kuheshimu imani na tamaduni za watu wengine? Wewe mbona unaji-contradict mwenyewe? Uswidi hakuna waislamu waswidi? Nao haki zao utazipeleka wapi?
Hivi kuna sababu gani za watu kuuchukia uislamu?
Uislamu unataka mtu awe mkweli, mwenye subra, mwenye kutafuta riziki yake kihalali, mwenye kupenda kusoma, mwenye huruma, msikivu, msamehevu, mwenye kuunga ukoo, mwenye heshima, mwenye kujali familia yake, mwenye kuwaangalia wazazi wake, mwenye kuwaheshimu wanawake, mwenye kusaidia jamii, mwenye kumtizama jirani zake, asiwe muongo, mwizi, mlevi, mzinzi, mbadhirifu, haini, mchonganishi, mbazazi, mvivu, mjinga, mwenye kujifananisha na jinsia tofauti na yake, mlaghai n.k.
Sababu zote zinazotolewa na wanaouchukia uislamu ni irrational ndiyo maana ikaitwa Islamophobia.
Don't judge Islam by muslims rather than judge the muslims by their Islam.
Mada za hivi wewe ndio huwa unashikilia usukani. Ni mwendo wa kuhoji tuQuran ni kitabu kilichojaa contradictions, bisha.
Okay kumbe kuhusu mfano wa maneno yangu kwako, ni dunia itapima, lakini kuhusu uislamu, wakina Kiranga wakisema ndiyo kweli, sasa kama wewe unaona uislamu ni uongo, ukiukaushia unafikiri ndiyo Mungu atapata nguvu? Hivi umejipa mamlaka ya kuwa wewe ndiyo mkweli na uislamu kuwa uongo kutoka kwa nani?Umeshindwa kukanusha Mswidi halisi ni nani.
Ukinipa kashfa zote hizo, huo ni uhuru wako wa kujieleza na kuamini. Sasa mimi nitakuzuia vipi nikufanye usiamini unachoamini? Huo ni uhuru wako wa kikatiba na sehemu ya haki zako za kibinadamu.
Lakini dunia inayofuata mantiki itapima maneno yako kwa kumuangalia Kiranga, na kama maneno yako ya kashfa hayana msingi, itakupuuza tu.
Sasa mimi kwa nini nihamaki ikiwa maneno yako si ya kweli?
Waislamu wanamuabudu Mungu au wanaabudu msahafu?
Huoni kwamba ukikasirika kwa msahafu kuchomwa moto unaenda kwenye kuuabudu msahafu, unaenda kwenye ibada ya sanamu. Unakuwa unaabudu kitabu badala ya kumuabudu Mungu?
Kuheshimu imani na tamaduni za watu wengine ni pamoja na kuheshimu uhuru wa watu kuchoma vitabu wasivyovipenda. Wewe wakaushie tu, dunia itawahukumu kama wanafanya kitu kizuri au kibaya.
Uislamu wenyewe ni uongo, umejengwa kwenye uongo. Unadanganya kuwepo kwa Mungu. Huwezi kuthibitisha Mungu yupo. Quran ina contradictions kibao, hivyo si kitabu cha ukweli. Utasemaje Uislamu unataka mtu awe mkweli ikiwa Quran yenyewe imejengwa kwenye uongo?
Nakwambia hivi, Islamophobia ni irrational fear of Islam. Mtu akikwambia anachukia Uislamu kwa sababu unakandamiza wanawake, na unataka kuji impose kwa watu wote dunia nzima under some caliphate, hiyo ni rational fear, si phobia.
Mungu yupo ila kuhusu Allah sina uhakikaNa hapo ndipo utajua Mungu hayupo, huyo Mungu ni hadithi za watu tu.
Angekuwepo angempiga mtu mmoja tu kwa radi wakati anachoma Quran, tungejua yupo bila chenga.
Upumbavu mtupu.
Mungu gani?Mungu yupo ila kuhusu Allah sina uhakika![]()
Mada za hivi wewe ndio huwa unashikilia usukani. Ni mwendo wa kuhoji tu![]()