MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,568
- 51,234
Waache huo upumbavu, waishi kwa kuheshimu tofauti zilizopo kati yetu.
Hatuwezi wote dunia nzima kuwa wa-Kristo au wapagani
Mbona hawaombi kuchoma madubwana ya Wahindu, Budha na wengine, wanaomba kuchoma za waislamu tu, maana nyie mumeshindwa kuishi na watu vizuri, kutwa kujilipua mabomu na kulazimisha watu wamuabudu huyo muarabu wenu.