Hawa ewura watakuwa wamevuta mpunga kutoka IPTL siyo bure. Wachunguzwe haiwezekani mnajua kabisa hii kitu haitakiwi hata kutangazwa/ kusikika kwenye ofisi za umma mnajitia kimbelembele. Tena nadhani hiyo top management yote waliohusika wanatakiwa kukaa pembeni.
Nani amekwambia hawezi kumfuta kazi?waziri wa maji anareport kwa waziri mkuu,yy ndio anaoversee the whole government activities.....so basically akona authority yakutengua
The thing is EWURA ako na interest sehemu nying,from tanesco to energy we use day to day!hawa wakurugenzi wanahudhuria vikao vya bunge almost mara nyingi,maazimio kama ya bunge kuitaka serekali isirenew mkataba wa IPTL wanayajua...mkataba wa tanesco na IPTL uko karibu kuexpire so why taking applications yakurenew licenses while serekali anakesi kibao nyingi akiwa ameshindwa na huyo huyo IPTL na kupashwa kulipa fidia...that was an insult kwa serekali especially waziri mkuu ambaye atawekwa kitimoto bungeni kujibu tuhuma.
Look sera ya umeme ya 2015 iko wazi,serekali inajitoa kunye hawa suppliers waliokuwa wanazalisha na kuuzia tanesco umeme kwa bei ya juu,na kuelekeza nguvu kwenye gesi na makaa ya mawe....Dowans mkataba umevunjwa kwa sababu hiyo hiyo leo unatangaza adharani kutaka kuwapa watu walewale leseni sometimes hawa wakurugenzi wanachosha sana,tommorow I won't be surprised raisi akivunja bodi mpka tunyooke
Kwa sisi tuliosoma utawala A has power over B , B has power over C but A has power over B & C . kama wewe siyo bashite utanielewa
Nani nakuambia? Unadlewa maana ya kusimamishwa I?Mzigo mwingine kwa serikali!Anaenda kutulia nyumbani akila mshahara mzima!
Mpaka sasa utumbuaji unaligharimu taifa karibia mil 400 kila mwezi!
Mambo mengine ni kujitakia, alishindwa nini kuinua simu kwa katibu wa wizara, waziri mkuu na hata rais kuomba muongozo. Kwani kwa sasa inawezekana baadhi ya sekula za serikali za awamu zilizopita haxitumiki bila kuhakikiwa na awamu hii hata kama hazijafutwa na sekula nyingine.Kafara ya IPTL ishapatikana, ngoja tusubiri nyingine kwenye ripoti ijayo.
MarhabaHawa ewura watakuwa wamevuta mpunga kutoka IPTL siyo bure. Wachunguzwe haiwezekani mnajua kabisa hii kitu haitakiwi hata kutangazwa/ kusikika kwenye ofisi za umma mnajitia kimbelembele. Tena nadhani hiyo top management yote waliohusika wanatakiwa kukaa pembeni.
Ndio wasomi wetu hao, wenye jukumu la kuliendeleza taifa kwa elimu zao.Hah ! Hah! nacheka kwa huzuni kubwa Mkuu, yaani jamaa wa EWURA mishipa ya shingo inamtoka kutetea ''haki ya Kisheria'' ya IPTL bila kujua hasira waliyonayo wananchi kuhusu tulivyopigika kwa ''mienendo ya mashaka'' ya IPTL na washirika wao waliosaini ''mikataba mibovu'' kuiingizia nchi hasara na bili kubwa kwa wateja wa umeme.
Hawezi akainua simu wakati dhamira yake nikuitafutia nguvu yakisheria kuipisha....I have seen hii kitu ya kukusanya maoni most of hayo maoni ni put on a show coz in really sense mtu wa nje hawezi kujua maoni yanaupande gani zaidi ya hao wenyw ewura so he got what he deserved....like seriously,juzi mwenzake kakusanya maoni kesho yake kapandisha umeme tofauti na kauli za raisi kuwa umeme usipande bei sasa hawa watu wanamaslahi makubwa sana..Mambo mengine ni kujitakia, alishindwa nini kuinua simu kwa katibu wa wizara, waziri mkuu na hata rais kuomba muongozo. Kwani kwa sasa inawezekana baadhi ya sekula za serikali za awamu zilizopita haxitumiki bila kuhakikiwa na awamu hii hata kama hazijafutwa na sekula nyingine.
Hivi unaweza kuendesha biashara bila leseni? Hapana, tunakunyima leseni sasa wewe endelea na biashara yako.Hiv EWURA wakiwanyima lesen IPTL si ndiyo tunatafuta matatizo
Ndo wajue kuwa madaraka ya umma ni utumishi tu na sio mali za baba zao.Wanabodi tumbua imeendelea tena usiku huu nasoma hapa kwa uhakika kabisa bwana Ngalamgosi ambae ni Mkurugenzi Mkuu wa Ewura amesimamishwa kazi na Waziri Mkuu...sababu za kusimamishwa hazijatajwa...Pole bwana felix haya madaraka ya umma magumu sana.