= kamili
Itakua CCM inajiosha suala la IPTLtatizo ni nini tena
Inavyoonesha tumbua ya mchana ukiona ni JPM.Naona kapokea kijiti
Inavyoonesha tumbua ya mchana ukiona ni JPM.
Tumbua ya usiku ni PM
Nani amekwambia hawezi kumfuta kazi?waziri wa maji anareport kwa waziri mkuu,yy ndio anaoversee the whole government activities.....so basically akona authority yakutengua..hii ngoma nadhani haijakaa sawa.
..mkurugenzi amechukuliwa hatua na Waziri Mkuu lakini taarifa inatolewa na Mkurugenzi wa Habari Ikulu.
..kwanini taarifa hiyo haikutolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu?
..Pia Mkurugenzi Mkuu wa Ewura anateuliwa na Waziri wa Maji. Kuna mlolongo wa utaratibu wa usaili mpaka kuthibitishwa na Waziri wa Maji.
..Kwa msingi huo basi anayepaswa kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ewura ni Waziri wa Maji, siyo Waziri Mkuu.
IPTR = IPTLIPTR IYO KAMA NI KWELI
Wewe bado mgeni serikali hii? Hii ni kiki ya kuamkia jumapili asubuhi.Jamani tumbuatumbua mpaka usiku wa manane walikuwa wapi mchana?
Hii serikali ya sasa kabla ya kufanya maamuzi yeyote ambayo yako kisheria kwanza inabidi usome upepo. Sheria si kitu kwa utawala huu.Tatizo la wateuliwa kutotumia akili kubwa kudhani kuwa "sheria " ina ibana EWURA kutoa fair chance kwa IPTL wakati wa kuomba leseni ya biashara baada ya madudu yote yaliyofanywa na IPTL bila kusahau mzimu wa ESCROW.
EWURA wanadai katika kauli-mbiu yao wanaamini katika mambo yafuatayo hapa chini:
- Uwazi : kuwa wadau wote (wananchi na waomba leseni), ikiwemo serikali itafahamishwa jambo tata kabla ya tangazo
- Uadilifu : itatetea manufaa ya wateja na nchi ktk ujumla wake na ya waomba leseni.
- Mwitiko : Kuwa na uharaka wa kujua jambo gani litaathiri nchi
- Bidii : Kujifunza kutafuta jawabu muafaka ktk changamoto yoyote
- Uwajibikaji : Kujiweka mbele kutetea haki ya wateja wa umeme na kuwabana waomba leseni wote (ikiwemo IPTL) katika kuwajibika kwa madudu yao.
- Heshima kwa pande zote : kwa wateja wa umeme na wale wanaotaka kuzalisha
- Uaminifu : Kufanya uaminifu kwa wote wapate kilicho stahili yao
- Utaalamu : kuonesha weledi katika utendaji kazi kitaalamu
- Ubora wa hali ya juu : Maamuzi yao yatakuwa ya ubora wa hali ya juumbele ya macho ya wanaofuatilia maamuzi ya EWURA
- Usawa : Usawa kwa wote yaani wateja wanaotozwa kununua umeme,kusambaza na kuzalisha umeme
EWURA VISION:
To champion the delivery of energy and water services through world class regulation for enhancement of the welfare of the Tanzanian society.
Our core values :
Source: http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2015/04/EWURA-NEWSLETTER-KISW-OCT2012.pdf
- Uwazi /Transparency
- Uadilifu /Integrity
- Mwitiko / Responsiveness
- Bidii / Diligence
- Uwajibikaji / Accountability
- Heshima kwa pande zote /Courtesy
- Uaminifu /Honest
- Utaalamu /Professionalism
- Ubora wa hali ya juu /Excellency
- Usawa / Equity
Kwa sisi tuliosoma utawala A has power over B , B has power over C but A has power over B & C . kama wewe siyo bashite utanielewa..hii ngoma nadhani haijakaa sawa.
..mkurugenzi amechukuliwa hatua na Waziri Mkuu lakini taarifa inatolewa na Mkurugenzi wa Habari Ikulu.
..kwanini taarifa hiyo haikutolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu?
..Pia Mkurugenzi Mkuu wa Ewura anateuliwa na Waziri wa Maji. Kuna mlolongo wa utaratibu wa usaili mpaka kuthibitishwa na Waziri wa Maji.
..Kwa msingi huo basi anayepaswa kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ewura ni Waziri wa Maji, siyo Waziri Mkuu.
Jamani usiku huu kutumbuana!!! Is not good
Waziri mkuu ameamka kula daku.. akaona sio mbaya akimdaku na huyu mkurugenzi
Tujikumbushe utetezi wa EWURA kukaa kikao kazi na kisha kuamua kutoa tangazo kwa umma kuhusu ombi la IPTL kutaka leseni yao iongezewe muda baada ya kukaribia kuisha:
EWURA kuhusu kuongezwa muda wa leseni ya IPT
Source: Millard Ayo
Iyo = hiyoIPTR = IPTL