Watoto wafanya maonesho ya mavazi ya kikabila ya Hanfu ili kuonyesha uzuri wa utamaduni wa jadi

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,094
1,094
Tamasha la kwanza la mavazi ya jadi ya Hanfu la watoto lilifanyika Jumatano wiki hii mjini Shenyang China.

Kwenye jukwaa la maonesho, sambamba na muziki wa mtindo wa kale, watoto walionesha uzuri wa mavazi ya Hanfu na utamaduni wa jadi wa China. Kutokana na shughuli hiyo, watoto walijifunza jinsi ya kuvaa mavazi hayo ya kale, kupata uzoefu wa kufahamu adabu za jadi, pia walishuhudia uzuri wa utamaduni wa jadi wa China.

VCG111385368432.jpg
VCG111385368429.jpg

VCG111385368425.jpg
 
Back
Top Bottom