Watanzania wamewapuuza Chadema

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
May 14, 2015
5,449
4,359
Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu

Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu

Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika

Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu

GM
Kisutu Dsm
 
Watanzania tunaipenda chadema acha kujidanganya. Police wanaumiza watu ndio maana watu wanaogopa kujitokeza. Acheni watu wawe huru uone patakavyofurika watu pale kisutu....

Kwa hiyo unafikiri watanzania wanaipenda ccm au sio?
 
Nguvu ya umma imeishia wap?

Mikwara kibao kumbe watoto lainii
 
Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu

Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu

Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika

Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu

GM
Kisutu Dsm
Ukiona hivi, jua wewe ni chawa unayeshabikia utopolo tokana na uvivu wa kutafuta na kutaka kunyonya.
 
Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu

Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu

Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika

Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu

GM
Kisutu Dsm
Ikifika wakati wa kulazimishana kuheshimiana uwepo na familia yako kushuhudia yote,kwani upo wakati watu wanaongea ama kilevi ama kwakutokujua ama kwa malipo.Muda ni mwalimu wa kweli.
 
Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu

Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu

Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika

Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu

GM
Kisutu Dsm
wanachama wa mikoani wameishia kimboka huko buguruni wanakula maisha na posho zao
 
Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu

Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu

Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika

Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu

GM
Kisutu Dsm
Kwa Tanzania hata ungemkamata nani wa serikalini washabiki na wapenzi hubaki kuumia na kulia tu mioyoni, na hiyo haina maana kwamba wanaunga mkono mateso, vilio na vifo. Kumbuka wanaopigwa wana watoto, wake, waume na marafiki ambao ni Watanzania vilevile
 
Watanzania tunaipenda chadema acha kujidanganya. Police wanaumiza watu ndio maana watu wanaogopa kujitokeza. Acheni watu wawe huru uone patakavyofurika watu pale kisutu....

Kwa hiyo unafikiri watanzania wanaipenda ccm au sio?
some Tanzanians, not most/all, kama walivyogawanyika kwa vyama 18 vitavyoshiriki uchaguzi mkuu
 
Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu

Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu

Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika

Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu

GM
Kisutu Dsm

GpTFqrZXAAECZ-k.jpeg
 
Kumbe wewe choko! Nimeelewa sasa.
 
Kmmke chadema oye no reform no electricity 😂 muhimbili matibabu ni bei juuu naandila nikiwa on bed mhmbili
 
Back
Top Bottom