Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,450
- 4,354
Watanzania tunaipenda chadema acha kujidanganya. Police wanaumiza watu ndio maana watu wanaogopa kujitokeza. Acheni watu wawe huru uone patakavyofurika watu pale kisutu....Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu
Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu
Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika
Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu
GM
Kisutu Dsm
Nguvu ya umma imeishia wap?Watanzania tunaipenda chadema acha kujidanganya. Police wanaumiza watu ndio maana watu wanaogopa kujitokeza. Acheni watu wawe huru uone patakavyofurika watu pale kisutu....
Kwa hiyo unafikiri watanzania wanaipenda ccm au sio?
Ukiona hivi, jua wewe ni chawa unayeshabikia utopolo tokana na uvivu wa kutafuta na kutaka kunyonya.Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu
Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu
Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika
Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu
GM
Kisutu Dsm
Dogo boss wako anajua sina njaaUkiona hivi, jua wewe ni chawa unayeshabikia utopolo tokana na uvivu wa kutafuta na kutaka kunyonya.
Ni kweli hasa ukizingatia kuwa sasa ni wakati wa machawa kujidai senzi we.Dogo boss wako anajua sina njaa
Maisha yangu hata Lissu ayasogelei mimi level zangu labda Aikaeli mbowe
Mzeebaba askari wanapiga watu ovyo unafikiri watu watajitokeza?Nguvu ya umma imeishia wap?
Mikwara kibao kumbe watoto lainii
Ikifika wakati wa kulazimishana kuheshimiana uwepo na familia yako kushuhudia yote,kwani upo wakati watu wanaongea ama kilevi ama kwakutokujua ama kwa malipo.Muda ni mwalimu wa kweli.Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu
Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu
Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika
Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu
GM
Kisutu Dsm
wanachama wa mikoani wameishia kimboka huko buguruni wanakula maisha na posho zaoSiku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu
Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu
Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika
Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu
GM
Kisutu Dsm
Kwa Tanzania hata ungemkamata nani wa serikalini washabiki na wapenzi hubaki kuumia na kulia tu mioyoni, na hiyo haina maana kwamba wanaunga mkono mateso, vilio na vifo. Kumbuka wanaopigwa wana watoto, wake, waume na marafiki ambao ni Watanzania vilevileSiku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu
Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu
Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika
Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu
GM
Kisutu Dsm
Wewe si kamandaMzeebaba askari wanapiga watu ovyo unafikiri watu watajitokeza?
Wasipojitokeza we unahisi wamewapuuza chadema. Haupo serious bro.
Ccm hapigwi tunajua hiloWewe si kamanda
Ungekuja hapa Kisutu kaka
Mbona mimi sijapigwa
some Tanzanians, not most/all, kama walivyogawanyika kwa vyama 18 vitavyoshiriki uchaguzi mkuuWatanzania tunaipenda chadema acha kujidanganya. Police wanaumiza watu ndio maana watu wanaogopa kujitokeza. Acheni watu wawe huru uone patakavyofurika watu pale kisutu....
Kwa hiyo unafikiri watanzania wanaipenda ccm au sio?
Kama hujui kitu nyamaza hukuona umma ya polisi walivyojazana?Nguvu ya umma imeishia wap?
Mikwara kibao kumbe watoto lainii
Si mlisema polisi ni wachache kuliko nyie?Kama hujui kitu nyamaza hukuona umma ya polisi walivyojazana?
Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu
Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu
Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika
Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu
GM
Kisutu Dsm
Kumbe wewe choko! Nimeelewa sasa.Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu