Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu

Kwa majibu hapa !! tokana na matusi hayo !!! hakika kweli wewe ni Meneja ulioiva unastahili zaidi ya umeneja, Hongera kwa Busara yako

Bila hiyana muhudumie vema huyo mteja mtarajiwa wako ......
SI kweli

Being stupid doesnt mean umeiva,its exactly being stupid

Shida ni kuprentend.....people know when you are pretending,they will value you less and thats stupidity...

Be yourself,if you sell then sell,if you dont sell then dont sell,stop prentending
 
Ahsante sana boss, unachozungumza ni kweli kabisa.
 
Boss kwenye biashara ya mafuta na gesi Tozo zinaathiri vipi faida unayoipata? Na pia tozo zinamwathiri vipi mfanya biashara wa mafuta na gesi?
Niliona umeandika uzi wa maana sana hapo juu lakini kwa hili uliloandika kuhusu tozo naona hauko serious au huelewi kabisa, na inawezekana pia uchawa umeweka mbele kuliko uhalisia, ila asante kwa kuonyesha opportunity sio tozo lakini
 
Boss tupo pamoja tuzidi kuelimishana tu.
 
Uwekezaji wote ulioulekeza ni mzuri sana ila ukiwa na pakuanzia namaanisha kipato hasa kwa si wenye vipato vidogo,but shukran kwa kutoa muangaza kwenye hizo sekta
 
Back
Top Bottom