Watangazaji wengi wakibongo ni Dhaifu kwenye Jiografia

Mkuu nashukuru kwa kuliona hilo tasnia ya habari siku hizi imejaa makanjanja, Watangazaji baadhi wako hoi sana, mtu hajui hata kutofautisha r na l kwa kweli hali hii inakera na kuudhi.Baadhi yetu tulicheza na Atlas kipindi tupo shule ya msingi kiasi kwamba mpaka leo mtu unakua unaufahamu wa kutosha kuhusu jiografia ya kidunia. Niliwahi uliza wanafunzi kidato sita mchepuo wa HGL, Wiliya ya mafia iko Mkoa gani ilishindikana wanakuambia iko Manyara.
 
Yuko mmoja ITV kipindi kile mchezaji wa Arsenal Eduardo da Silva alipovunjika mguu uwanjani alimuadress 'mchezaji mahiri wa Arsenal Eduardo Dos Santos'. Katika muhtasari nilidhani kachapia, lkn aliporudia kwenye habari kamili sikuamini masikio yangu. Nilimsamehe kwa kutokuwajua wachezaji wa Arsenal, lkn nilimdharau sana kwa kutokujua kuwa Eduardo Dos Santos ni rais wa Angola.

Yapo matangazaji mengine pia hovyo kweli kweli kiasi neno KUTELEKEZA yanasema KUTEKELEZA
 
Ndiyo hivyo...

Hovyo hovyo, sasa ndio awe anamhoji mtu ha ha ha
 
Back
Top Bottom