Watangazaji wengi wakibongo ni Dhaifu kwenye Jiografia

Tembosa

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,411
3,804
Nimeshtuka sana nilipomsikia moja ya mtangazaji wa Radio Kili fm- Moshi asubuhi ya leo akisema Gaboni na Mali zipo karibu kabisa kama ilivyo Tanzania na Kenya...

Tena alikuwa akitamka kwa msisitizo kabisa na kurudia rudia, eti ndiyo maana Mali walikuwa na Washabiki wengi...

Hawana tofauti na baadhi ya wale wa radio free Africa, ambao kwao jiografia ya Africa hata Tanzania hawaijui vyema...
Ni kawaida kumsikia presenter akisema mkoa wa Bukoba, mkoa wa Songea au Mkoa wa Sumbawanga...   

Duh!!
 
Tanzania ipo karibu zaidi na Gabon kuliko mali. Ishu ni comitment
 
 
yaani general knowledge in ziro....ukiwa mtangazaji unapaswa kuwa mtu wa kujifunza kila siku..sasa wao kazi yao kufuatilia habari za udaku tu
 
Yaani ni aibu tupu. Wanakera mpk huwa najiuliza walienda shule gani hao? Na sio kituo kimoja. Tv na redio wote huchensha tu. Wakati mwingine ht maijna ya watu inakuwa sheeeeedah. Loooo no wonder kila tuendako tunadharauliwa tu. Mf. Leicester city wanasema Lesesta nachukia mpk naskia kuwashwa. Hutamkwa Lesta. Kuna nchi ya Ausria ipo Ulaya yaani bara la ulaya Europe na kuna nchi ya Australia ipo mashariki ya mbali kwenye bara la Australasia. Kuna mtangazaji hawezi kbs kusema intaneti yeye husema intanenti. Hawajizatiti kabla ya kuingia hewani? Aibu sana wanakera na kupotosha wale wasio na uelewa wa kutosha. Mtu anasema mkoa wa Moshi jmn kweli huyu atamsaidiaje mtoto anayeomba msaada wa kimasomo kwake??? TAHADHARI CHUKUA HATUA. JEE HV VITUO HAVINA WAKUU WA VITENGO WAN AOAKIKI HBR AU MTU TU HUKURUPUKA NA KUONGEA TU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…