Ocean Media
Member
- Dec 16, 2015
- 93
- 82
Mlinzi mzuri.. Ni yule anaelipot mda sahii.. Anakagua mazingira kila baada ya SAA.. Anatakiwa awe msafi.. Mchangamfu na mkakamavu.. Asiyekua na mazoea ya ovyo ovyo..
asante mkuu na hili la kubadili mlinzi kila baada ya siku mbili ? ni sawa kwa mwezi wanakuwa wamekuja hata watu 20 tofauti tofauti ?Mlinzi mzuri.. Ni yule anaelipot mda sahii.. Anakagua mazingira kila baada ya SAA.. Anatakiwa awe msafi.. Mchangamfu na mkakamavu.. Asiyekua na mazoea ya ovyo ovyo..
Hiyo kampuni ya ulinzi inaitwaje??tutawaondoa ila ndo naomba ushauri hao wapya tuwaambie waweje mkuu i mean walizi wazuri wanatakiwa waweje?
sitaki kuwaharibia saana ila wakijisoma hapa watajijua mkuuHiyo kampuni ya ulinzi inaitwaje??
Muda mliokubaliana kuingia na kutoka kazini.Kuwa na walinzi wanaoingia kazi muda wanaoutaka ni hatari sana kwa uhai wako na mali zako.Fukuza hiyo kampuniHapa napoishi tumeingia mkataba na kampuni moja ya kibongo kuhusu suala la ulinzi usiku. Hawa walinzi wanatakiwa kuingia saa kumi na mbili ila wao wanaingia saa yoyote hata saa mbili. Mfano leo hata hajaja na kama hawaji hata hawatoi taarifa hadi upige kwa mwenye kampuni nae anaanza kushangaa afanye mbinu alete mwingine blah blah kibao yaani.
Inaelekea mwenye kampuni hawalipi vizuri kwaiyo wanaacha kazi inabidi abadilishe mara kwa mara.
Hofu yetu ni kwamba kwa wiki eti wanaweza kuja hata watu wanne tofauti tofauti. Sasa sisi hatupendi watu tofauti tofauti waje hapa kwetu maana tunaona kama ni hatari kwetu. Mwenye nyumba ambae ni boss wangu kazini yeye hata hajui hii issue yeye kanikabidhi hapa kila kitu yeye hakai bongo hata kuwalipa nalipa mimi na mkataba nimesaini mimi.
Nimevumilia kumsemea huyu bwana apigwe chini tutafute wengine ila sasa nimechoka naona tu niwe mkweli.
Eti wadau ni sawa walinzi kubadilishwa kila siku jamani?
Walinzi wazuri wanatakiwa waweje ili nikiingia mkataba mpya nitoe hayo masharti maana nimewachoka hawa wananiletea lawama.
Tatizo wewe uliingia mkataba na kampuni kanjanja tena una bahati wangekuibia!hawa wabongo hatuwataki tena mkuu wababaishaji sana
kuna mpangaji hapa wanamlindia ofsini kwake ndo aliwaletaTatizo wewe uliingia mkataba na kampuni kanjanja tena una bahati wangekuibia!
Sio sahii Inamaana kampun ahijal wafanyakazi wake ndo tatizo. Nautakuta mshara ni MDOGO... Wafanyakazi hawana mida wakupumzika.. Majumbani kwao hiyo pia ni changamoto. Cha msingi tafuta international company achana na wabongo.. Wababaishaji sana.asante mkuu na hili la kubadili mlinzi kila baada ya siku mbili ? ni sawa kwa mwezi wanakuwa wamekuja hata watu 20 tofauti tofauti ?
international company ni gharama na kuongezea watu kodi ya nyumba saa hizi ni shida mkuuSio sahii Inamaana kampun ahijal wafanyakazi wake ndo tatizo. Nautakuta mshara ni MDOGO... Wafanyakazi hawana mida wakupumzika.. Majumbani kwao hiyo pia ni changamoto. Cha msingi tafuta international company achana na wabongo.. Wababaishaji sana.
Nikushauri tafuta mtu umuajir wew ukimlipa hat 200k.. Akawa anakaa hapo hapo anakula vizur.. Utafurah sabb hay makampuni local wafanyakazi wake wengi hawana uzoefu na hiyo kazi.. Na ukkiibiwa kulipa mtasumbuan sabab ni local..international company ni gharama na kuongezea watu kodi ya nyumba saa hizi ni shida mkuu
atakula kwa nani sasa maana hapa kuna apartment kila mtu anaishi kimpango wake ingawaje laki mbili naweza kumpa maana kampuni nalipa zaidi mkuuNikushauri tafuta mtu umuajir wew ukimlipa hat 200k.. Akawa anakaa hapo hapo anakula vizur.. Utafurah sabb hay makampuni local wafanyakazi wake wengi hawana uzoefu na hiyo kazi.. Na ukkiibiwa kulipa mtasumbuan sabab ni local..
Kama niappartment tafuta kampun LA kigeni jikakamue tu.. Vinginevyo itakukost mkuu..me nilizania nyumbanii tu.. Utapata hasara kubwa zaid na ulivyofikiliaatakula kwa nani sasa maana hapa kuna apartment kila mtu anaishi kimpango wake ingawaje laki mbili naweza kumpa maana kampuni nalipa zaidi mkuu
nitamshauri mwenye nyumba kesho mkuu asanteKama niappartment tafuta kampun LA kigeni jikakamue tu.. Vinginevyo itakukost mkuu..me nilizania nyumbanii tu.. Utapata hasara kubwa zaid na ulivyofikilia
asante mkuu ngoja nifikishe swala kwa mwenye nyuma ndo mwenye uamuzi wa kweli ila wabongo wababaishaji sanawewe kama Client unapotaka kusain contract na kampuni lazima utoe masharti unataka nini na wao ukishakubaliana na malipo yao watatimiza masharti yako, utaratibu wa kubadili mlinzi ni wakawaida coz zipo sababu nyingi huenda mlinzi akawa mzembe au vinginevyo ila siyo Mara nyingi kiasi hicho angalau miezi mitatu ndo MTU anabadilishwa,, ntakusaidia kuna kampuni 1 ya ulinzi nimefanya kazi pale kama miaka7 ila nishaacha kazi ila naweza kusaidia mawasiliano yao IPO mikoa ya Arusha,Dar,MOSHI,Tanga,
Moro,DOM na sehem zingine Inamilikiwa na Mzungu mwanzoni alikuwa MKURUGENZI wa KK security akaunda kampuni yake inaitwa WARRIOR SECURITY wapo smart sana na wanajua kazi yao mlinzi lazima akaguliwe ucku zaidi ya mara2 Ila uwe na mpunga wa kutosha Kwenye Residence ni 1milioni kwa askari wawili wa mchana na usiku yaani 24hrs ila kama ni Shift1 ya usiku pekee Ni kama Laki6 kwa mwezi mmoja Wako vizuri nadhani kuliko kampuni nyingi za ulinzi nilizowahi kuzifanyia kazi ukiwahitaji nicheki nikuconect, ulinzi wowote upo utakaotaka uwe wa Bunduki,Mbwa n.k
Masela hawalindwagi kama nyie masela jilindeni wenyewehapa tunaishi wasela tu mabeki tatu wanakuja na kuondoka saa kumi na mbili mkuu!