Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma, inayosadikika kupewa elimu ya dini

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
15,612
23,425
Wasichana wa ki-islamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini leo 19-02-2024.

Wapo zaidi ya mabikra 200, wanakula na kunywa bure kwa siri kubwa sana.Fedha za kuwalisha, kuwapa vinjwaji, kununua pedi[taulo] kila mwezi hazijulikani zitokapo na

Wameambiwa wanafundishwa dini, ukweli haujuikani lakini maagizo ya mkuu wa mkoa yanatia shaka hasa baada ya kutoa maagizo mepesi.

Mkuu wa mkoa alitakiwa atonyeshe hao wamilki, atuambie namna wamewapata hao wasichana bikra,mwazazi wao na taarifa nyingine.

Huenda tunaambiwa kila siku watu wamepotea tuna hangaika kuwatafuta kumbe wahusika wapo na hatupewi taarifa.
Ndugu yangu, waziri mpendwa Doctor GWAJIMA naomba utusaidie kuhusu hawa watoto!

Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba dodoma.
Wapo zaidi ya 200 na wanakula na kunywa kwa siri.
Wameambiwa wanafundishwa dini, ukweli haujuikani lakini maagizo ya mkuu wa mkoa yanatia shaka hasa baada ya kutoa maagizo mepesi.
Mkuu wa mkoa alitakiwa atonyeshe hao wamilki, atuambie namna wamewapata hao wasichan bikra,mwazazi wao nataarifa nyingine.
Huenda tunaambiwa kila siku watu wamepotea tunahangaika kuwatafuta kumbe wahusika wapo na hatupewi taarifa.
Ndugu yangu, waziri mpendwa Doctor GWAJIMA naomba utusaidie kuhusu hawa watoto!
View attachment 2896255
Watakuwa walikuwa kwenye mafunzo ya kuolewa na Magaidi wabebeshwe mabomu kujilipua nk

Dodoma kumeshatoa kijana aliyeenda kushambulia chuo kikuu Garissa Kenya aiyejiunga na Alshabab akakipua chuo ila akadakwa Kenya

Dodoma naona siasa Kali wanapalenga Kwa kuvizia wale Waislamu vijiweni jiijini kule Dodoma na Singida

Mlipua Garrisa alitoka hapo Dodoma

Serikali ichukulie serious
 
Watakuwa walikuwa kwenye mafunzo ya kuolewa na Magaidi wabebeshwe mabomu kujilipua nk

Dodoma kumeshatoa kijana aliyeenda kushambulia chuo kikuu Garissa Kenya akiyejiunga na Alshabab akakipua chuo ila akadakwa Kenya

Dodoma naona siasa Kali wanapalenga Kwa kuvizia wale Waislamu vijiweni jini kule Dodoma na Singida

Mlipua Garrisa alitoka hapo Dodoma

Serikali ichukulie serious
Mberesero ndio huyo wa Garissa?
 
Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini.

Wapo zaidi ya mabikra 200, wanakula na kunywa bure kwa siri kubwa sana.

Wameambiwa wanafundishwa dini, ukweli haujuikani lakini maagizo ya mkuu wa mkoa yanatia shaka hasa baada ya kutoa maagizo mepesi.

Mkuu wa mkoa alitakiwa atonyeshe hao wamilki, atuambie namna wamewapata hao wasichana bikra,mwazazi wao na taarifa nyingine.

Huenda tunaambiwa kila siku watu wamepotea tuna hangaika kuwatafuta kumbe wahusika wapo na hatupewi taarifa.
Ndugu yangu, waziri mpendwa Doctor GWAJIMA naomba utusaidie kuhusu hawa watoto!

View attachment 2896255
Bahati mbaya viongozi wa Tanzania wanafurahi wananchi kuwa wajinga, elimu si kipaumbele chao kuliko uchawa, mpaka rais anaukubali!
 
Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini.

Wapo zaidi ya mabikra 200, wanakula na kunywa bure kwa siri kubwa sana.

Wameambiwa wanafundishwa dini, ukweli haujuikani lakini maagizo ya mkuu wa mkoa yanatia shaka hasa baada ya kutoa maagizo mepesi.

Mkuu wa mkoa alitakiwa atonyeshe hao wamilki, atuambie namna wamewapata hao wasichana bikra,mwazazi wao na taarifa nyingine.

Huenda tunaambiwa kila siku watu wamepotea tuna hangaika kuwatafuta kumbe wahusika wapo na hatupewi taarifa.
Ndugu yangu, waziri mpendwa Doctor GWAJIMA naomba utusaidie kuhusu hawa watoto!

View attachment 2896255
Mbona umeandika kishabiki mno?

Hiyo idadi ya zaidi ya 200 mbona umetia chumvi?

Hao mabikra uliwapima wewe?? maana habari haijataja mabikra
 
Watakuwa walikuwa kwenye mafunzo ya kuolewa na Magaidi wabebeshwe mabomu kujilipua nk

Dodoma kumeshatoa kijana aliyeenda kushambulia chuo kikuu Garissa Kenya akiyejiunga na Alshabab akakipua chuo ila akadakwa Kenya

Dodoma naona siasa Kali wanapalenga Kwa kuvizia wale Waislamu vijiweni jini kule Dodoma na Singida

Mlipua Garrisa alitoka hapo Dodoma

Serikali ichukulie serious
Ficha ujinga wako, Sheria ya uislamu hairuhusu hilo jambo Kwa wanawake
 
Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini.

Wapo zaidi ya mabikra 200, wanakula na kunywa bure kwa siri kubwa sana.

Wameambiwa wanafundishwa dini, ukweli haujuikani lakini maagizo ya mkuu wa mkoa yanatia shaka hasa baada ya kutoa maagizo mepesi.

Mkuu wa mkoa alitakiwa atonyeshe hao wamilki, atuambie namna wamewapata hao wasichana bikra,mwazazi wao na taarifa nyingine.

Huenda tunaambiwa kila siku watu wamepotea tuna hangaika kuwatafuta kumbe wahusika wapo na hatupewi taarifa.
Ndugu yangu, waziri mpendwa Doctor GWAJIMA naomba utusaidie kuhusu hawa watoto!

View attachment 2896255
Hapo shida ni kuwakatiza watoto masomo

ila vituo kama hivyo vipo ni sawa na shule za boarding tu
 
Watakuwa walikuwa kwenye mafunzo ya kuolewa na Magaidi wabebeshwe mabomu kujilipua nk

Dodoma kumeshatoa kijana aliyeenda kushambulia chuo kikuu Garissa Kenya akiyejiunga na Alshabab akakipua chuo ila akadakwa Kenya

Dodoma naona siasa Kali wanapalenga Kwa kuvizia wale Waislamu vijiweni jini kule Dodoma na Singida

Mlipua Garrisa alitoka hapo Dodoma

Serikali ichukulie serious
Hawa wengi wao wanawatoa Kondoa .. Kuna maeneo kule watu hawajui chochote Cha Dunia zaidi ya Uislam.. hata wakiona mtu wa Dini nyinginewanadhangaa mno..
Kuna Mwalimu Mkristu alipangwa kufundisha huko alipata shida sana!
 
Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini.

Wapo zaidi ya mabikra 200, wanakula na kunywa bure kwa siri kubwa sana.

Wameambiwa wanafundishwa dini, ukweli haujuikani lakini maagizo ya mkuu wa mkoa yanatia shaka hasa baada ya kutoa maagizo mepesi.

Mkuu wa mkoa alitakiwa atonyeshe hao wamilki, atuambie namna wamewapata hao wasichana bikra,mwazazi wao na taarifa nyingine.

Huenda tunaambiwa kila siku watu wamepotea tuna hangaika kuwatafuta kumbe wahusika wapo na hatupewi taarifa.
Ndugu yangu, waziri mpendwa Doctor GWAJIMA naomba utusaidie kuhusu hawa watoto!

View attachment 2896255
AIsee ... Ujinga mzigo
 
Mkuu
niliiangalia taarifa ya habari, Mmiliki wa Kituo alikuwa live anajibu querry ya Mkuu wa Mkoa. pia na wasaidizi wake wote walitiwa nguvuni.

Ukweli ni kwamba, nchi hii ukionekana unakosoa utawala uliopo ndo unakuwa adui namba moja na wanakuwinda sana, lakini tabia hiyo ya dola imesababisha matundu kuachia uhalifu mwingine kutamalaki so long as wahalifu wanaipa praise and worshiping the regime
 
Hujasikia huko Namtumbo,ambako Mchungaji Muinjilisti Erick Manyanya,na wazazi wa wanafunzi walioko Shule za Msingi na Secondary,wamewatoa shule,wako kanisani,wanamsubiri Yesu arudi.Au taarifa hii huna?
 
Sasa kwanini hawataki kukosolewa?
 
Hujasikia huko Namtumbo,ambako Mchungaji Muinjilisti Erick Manyanya,na wazazi wa wanafunzi walioko Shule za Msingi na Secondary,wamewatoa shule,wako kanisani,wanamsubiri Yesu arudi.Au taarifa hii huna?
Nimeshangaa sana, hawa wanamsubiri Yesu, wengine wanafundishwa Siasa kali, yani ukishaskia "fulani wa siasa kali" ni hatari kwa taifa.
 
Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini.

Wapo zaidi ya mabikra 200, wanakula na kunywa bure kwa siri kubwa sana.

Wameambiwa wanafundishwa dini, ukweli haujuikani lakini maagizo ya mkuu wa mkoa yanatia shaka hasa baada ya kutoa maagizo mepesi.

Mkuu wa mkoa alitakiwa atonyeshe hao wamilki, atuambie namna wamewapata hao wasichana bikra,mwazazi wao na taarifa nyingine.

Huenda tunaambiwa kila siku watu wamepotea tuna hangaika kuwatafuta kumbe wahusika wapo na hatupewi taarifa.
Ndugu yangu, waziri mpendwa Doctor GWAJIMA naomba utusaidie kuhusu hawa watoto!

View attachment 2896255
Hao bila shaka walikuwa wanaandaliwa kupelekwa kwa mujahideen muqwamaa Al islamiya kule Somalia.
 
Huyo Ustaadh alipaswa kua jela hadi sasa.

Kuna mwingine huko Bagamoyo yeye anakusanya watoto wadogo na kuwafundisha ushoga na hajachukuliwa hatua yoyote.

Tanzania hakuna sheria kali za kuwalinda watoto.
The Law of the Child Act, ni sheria ngumu na inamlinda sana mtoto, shida ni hawa mabwana huwa wanasema madrasa za watoto.
Hapo bado wanakwambia mfumo kristo unawaonea, sijui wao hawataki watoto wasome lakini wakiumwa wanataka watibiwe hospitali za Mission kama KCMC,BUgaNDo, IKONDA, , sijui madaktari watatoka wapikama kila mtu akiamua kutoa ilm akhera!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom