Waraka wa leo utakaosomwa ndo mtaona utofauti wa dini na utapeli .

Makanisa yenyewe hayana moral authority dhidi ya serikali. Kanisa katoliki ambalo ukifa hujatoa zaka ya 10,000 wanakataa kukuzika japo miaka ya nyuma ulishatoa mamilioni.

Kanisa ambalo kwa miaka yote limeweka vizuizi kwa masikini kujiunga na shule zake.

Kanisa ambalo halina msamaha kwa wanafunzi wa seminary zake hata pale wanapofanya kosa dogo tu wanafukuzwa, leo litahubiri msamaha madhabahuni.

Kanisa ambalo mpaka leo linachukua ngoto kwa wanavijiji masikini ili kuwakodisha ardhi huko Morogoro. Kwa nini lisiwape kama kweli linahubiri matendo ya huruma.
Kanisa ambalo kama huna hela, wako tayari ufie getini kuliko kukupa hata panado katika hospital zao

Nadhani watoe boriti katika macho yoo
 
Haki sio huruma. Zama zimebadilika, muda wa kuendelea kuongoza kwa dhuluma umepita.
 
Ccm + Catholic

Ndoa yao ni ya miaka 100

Now tupo mwaka 59

Dola dola.

Dkt Slaaa na wakatoliki wengine wapo Cdm kimkakati tu
I will beg to differ, vile catholic ipo before uhuru wa nchi hii, na wamekuwa wakionya vipngoz wa ccm i dont think ni simple like that

Catholic is the only chirch vipngz wake wanaonya hata kama hamtaki kusikia
 
Makanisa yenyewe hayana moral authority dhidi ya serikali. Kanisa katoliki ambalo ukifa hujatoa zaka ya 10,000 wanakataa kukuzika japo miaka ya nyuma ulishatoa mamilioni.

Kanisa ambalo kwa miaka yote limeweka vizuizi kwa masikini kujiunga na shule zake.

Kanisa ambalo halina msamaha kwa wanafunzi wa seminary zake hata pale wanapofanya kosa dogo tu wanafukuzwa, leo litahubiri msamaha madhabahuni.

Kanisa ambalo mpaka leo linachukua ngoto kwa wanavijiji masikini ili kuwakodisha ardhi huko Morogoro. Kwa nini lisiwape kama kweli linahubiri matendo ya huruma.
Kanisa ambalo kama huna hela, wako tayari ufie getini kuliko kukupa hata panado katika hospital zao

Nadhani watoe boriti katika macho yoo
Fear of unknown
 
Afrika bado hatujatambua vizuri kati ya dini na imani. Sisi tulikuwa na imani zetu zilizoheshimu utu, mila na desturi tukaziacha tukahamia kwenye dini na hapo ndipo matatizo mengi yanayotuhusu yameanzia hapo.

Sina maana kuwa dini ni mbaya ila imani inakuweka karibu zaidi na Mungu wako kuliko dini. Kupitia imani ndipo Mungu humfungulia mtu maarifa yaliyojificha ambayo humsaidia kujitawala na kutawala mazingira yake. Siku wenye dini ni wengi we
nye imani ni wachache.
 
Back
Top Bottom