Waraka wa leo utakaosomwa ndo mtaona utofauti wa dini na utapeli .

I will beg to differ, vile catholic ipo before uhuru wa nchi hii, na wamekuwa wakionya vipngoz wa ccm i dont think ni simple like that

Catholic is the only chirch vipngz wake wanaonya hata kama hamtaki kusikia
Marais wote kwa upande wa wa kristo ni RC na Makamu wa Rais waliotoka bara wote ni RC,hivyo lazima RC wawe na ushawishi kwenye utawala wa nchi kwa kuzingatia kuwa mfumo wa RC ni Dola inayojitegemea na yenye mamlaka kamili.
 
Makanisa yenyewe hayana moral authority dhidi ya serikali. Kanisa katoliki ambalo ukifa hujatoa zaka ya 10,000 wanakataa kukuzika japo miaka ya nyuma ulishatoa mamilioni.
Timiza wajibu dai haki , unahaki ya kuzikwa kama muumini lakini pia timiza wajibu wako kwa kufuata taratibu na sheria za kanisa.
Kanisa ambalo kwa miaka yote limeweka vizuizi kwa masikini kujiunga na shule zake.
Mfano wa vizuizi kama vipi mkuu , au unataka watu wasome bure? Je hizo shule zitajiendeshaje wanafunzi wakisoma bure ?
Kanisa ambalo halina msamaha kwa wanafunzi wa seminary zake hata pale wanapofanya kosa dogo tu wanafukuzwa, leo litahubiri msamaha madhabahuni.
Hakuna mtu anaelazimishwa kwenda seminary mkuu lazima ufuate sheria zake.

Lakini pia unalalmika wewe ila wanafunzi wengi waliopita seminary wapo proud kusoma seminary ni kawaida kusikia mtu akijisifia kuwa mimi ni mseminary.
Kanisa ambalo mpaka leo linachukua ngoto kwa wanavijiji masikini ili kuwakodisha ardhi huko Morogoro. Kwa nini lisiwape kama kweli linahubiri matendo ya huruma.
Kanisa ambalo kama huna hela, wako tayari ufie getini kuliko kukupa hata panado katika hospital zao

Nadhani watoe boriti katika macho yoo
Unataka kanisa likupe wewe ardhi mkuu? Na je hio ardhi kanisa linapewa bure huko vijijini au linavamia na kupora .
Unataka kanisa ikupe panadol bure wakati serikali yako unaiyoilipa kodi haikupi bure?
Una madini, mbuga ,mito ,maziwa ,bahari kila raslimali ila bado hupewi bure unataka kanisa likupe bure .
Mbona husemi serikali ito V8 bure kwa raia wake
 
Makanisa yenyewe hayana moral authority dhidi ya serikali. Kanisa katoliki ambalo ukifa hujatoa zaka ya 10,000 wanakataa kukuzika japo miaka ya nyuma ulishatoa mamilioni.

Kanisa ambalo kwa miaka yote limeweka vizuizi kwa masikini kujiunga na shule zake.

Kanisa ambalo halina msamaha kwa wanafunzi wa seminary zake hata pale wanapofanya kosa dogo tu wanafukuzwa, leo litahubiri msamaha madhabahuni.

Kanisa ambalo mpaka leo linachukua ngoto kwa wanavijiji masikini ili kuwakodisha ardhi huko Morogoro. Kwa nini lisiwape kama kweli linahubiri matendo ya huruma.
Kanisa ambalo kama huna hela, wako tayari ufie getini kuliko kukupa hata panado katika hospital zao

Nadhani watoe boriti katika macho yoo
ccm yako inayofanya uwaoni.mbona unajua mdomo wako kufanyia usafi sana kuliko kinyeo chako unavotoa mavi
 
Makanisa yenyewe hayana moral authority dhidi ya serikali. Kanisa katoliki ambalo ukifa hujatoa zaka ya 10,000 wanakataa kukuzika japo miaka ya nyuma ulishatoa mamilioni.

Kanisa ambalo kwa miaka yote limeweka vizuizi kwa masikini kujiunga na shule zake.

Kanisa ambalo halina msamaha kwa wanafunzi wa seminary zake hata pale wanapofanya kosa dogo tu wanafukuzwa, leo litahubiri msamaha madhabahuni.

Kanisa ambalo mpaka leo linachukua ngoto kwa wanavijiji masikini ili kuwakodisha ardhi huko Morogoro. Kwa nini lisiwape kama kweli linahubiri matendo ya huruma.
Kanisa ambalo kama huna hela, wako tayari ufie getini kuliko kukupa hata panado katika hospital zao

Nadhani watoe boriti katika macho yoo
Bora ukae kimya kama mimi
 
Ccm + Catholic

Ndoa yao ni ya miaka 100

Now tupo mwaka 59

Dola dola.

Dkt Slaaa na wakatoliki wengine wapo Cdm kimkakati tu
Nashangaa sana watu wanaowasifia kanisa Catholic wakati wao ni wanufaika namba Moja wa Uongozi wa CCM. Kwa ufupi madhira wanayosababisha CCM kwa Watanzania huwezi kuyatenganisha na kanisa.
 
wewe ni masikini wa akili jenga wewe hospitali utibie masikini bure au jenga shule yako usomeshe masikini bure.
Umevuta misigara yako kwa pesa zako umeanza kuugua unataka utibiwe bure au umezaliana bila mipango maisha yamekupiga unataka watoto wasome bure! Kisa ulichangia ujenzi wewe ni MPUMBAVU!
 
hebu gusia hoja ya zinajengwa kwa misaada ya waumini lakini baadae waumini hawaambulii kitu, nadhani ndo hoja yake ya msingi
 
Makosa ya viongozi wa BAKWATA ni makosa na udhaifu wao binafsi kama viongozi, isiwe sababu ya kupaka matope waumini wote wa dini ya Kiislamu.
 
Back
Top Bottom