DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 24,933
- 66,393
Waraka wa leo utakaosomwa ndo mtaona utofauti wa dini na utapeli .
Sawa mgalatia, kobaz hawakususa waraka baada ya mfungo.Waraka wa leo utakaosomwa ndo mtaona utofauti wa dini na utapeli .
Sisiemu ni chama kichanga kinaCcm + Catholic
Ndoa yao ni ya miaka 100
Now tupo mwaka 59
Dola dola.
Dkt Slaaa na wakatoliki wengine wapo Cdm kimkakati tu
Aaah h 🙅🏽🙅🏽🙅🏽Sawa mgalatia, kobaz hawakususa waraka baada ya mfungo.
wanafanya nini huko?Ccm + Catholic
Ndoa yao ni ya miaka 100
Now tupo mwaka 59
Dola dola.
Dkt Slaaa na wakatoliki wengine wapo Cdm kimkakati tu
Haki sio huruma. Zama zimebadilika, muda wa kuendelea kuongoza kwa dhuluma umepita.Makanisa yenyewe hayana moral authority dhidi ya serikali. Kanisa katoliki ambalo ukifa hujatoa zaka ya 10,000 wanakataa kukuzika japo miaka ya nyuma ulishatoa mamilioni.
Kanisa ambalo kwa miaka yote limeweka vizuizi kwa masikini kujiunga na shule zake.
Kanisa ambalo halina msamaha kwa wanafunzi wa seminary zake hata pale wanapofanya kosa dogo tu wanafukuzwa, leo litahubiri msamaha madhabahuni.
Kanisa ambalo mpaka leo linachukua ngoto kwa wanavijiji masikini ili kuwakodisha ardhi huko Morogoro. Kwa nini lisiwape kama kweli linahubiri matendo ya huruma.
Kanisa ambalo kama huna hela, wako tayari ufie getini kuliko kukupa hata panado katika hospital zao
Nadhani watoe boriti katika macho yoo
I will beg to differ, vile catholic ipo before uhuru wa nchi hii, na wamekuwa wakionya vipngoz wa ccm i dont think ni simple like thatCcm + Catholic
Ndoa yao ni ya miaka 100
Now tupo mwaka 59
Dola dola.
Dkt Slaaa na wakatoliki wengine wapo Cdm kimkakati tu
Fear of unknownMakanisa yenyewe hayana moral authority dhidi ya serikali. Kanisa katoliki ambalo ukifa hujatoa zaka ya 10,000 wanakataa kukuzika japo miaka ya nyuma ulishatoa mamilioni.
Kanisa ambalo kwa miaka yote limeweka vizuizi kwa masikini kujiunga na shule zake.
Kanisa ambalo halina msamaha kwa wanafunzi wa seminary zake hata pale wanapofanya kosa dogo tu wanafukuzwa, leo litahubiri msamaha madhabahuni.
Kanisa ambalo mpaka leo linachukua ngoto kwa wanavijiji masikini ili kuwakodisha ardhi huko Morogoro. Kwa nini lisiwape kama kweli linahubiri matendo ya huruma.
Kanisa ambalo kama huna hela, wako tayari ufie getini kuliko kukupa hata panado katika hospital zao
Nadhani watoe boriti katika macho yoo
HakikaI will beg to differ, vile catholic ipo before uhuru wa nchi hii, na wamekuwa wakionya vipngoz wa ccm i dont think ni simple like that
Catholic is the only chirch vipngz wake wanaonya hata kama hamtaki kusikia
Huruma sio malezi.Haki sio huruma. Zama zimebadilika, muda wa kuendelea kuongoza kwa dhuluma umepita.
PhD za mchongo.Siku ya Ijumaa wanapenda PhD za kupewa sijawahi ona!
Dr Saa100, Dr JK!