Wapo wapi? Ama kweli jana sio leo na leo sio kesho

Yuko wapi yule jamaa aliyesema hajaribiwi, hatishwi na wala hapangiwi... yule aliyejifananisha na jiwe na kujibaraguza kutaka kuongoza malaika mbinguni?

Yako wapi yale mabunduki yaliyokuwa yanamlinda na kumpa jeuri? Ni kweli yamezidiwa nguvu na ziraili?

Nauliza yuko wapi?
kaenda kuongoza malaika. mana binadamu siio levo zake. Au mataga mnasemaje??
 
Back
Top Bottom