Wapi pazuri kuwekeza hisa, bond au fixed deposit au UTT?

Sasa unatafuta nini humu si ukasubiri wateja huko ofisini kwako. Humu watu tunashea experience tu, kwa hiyo ukifunguka watu watavutiwa na kukuona kiofisi. Ingekuwa kila mtu anasema njoo ofisini basi JF isingekuwa na maana yeyote. Be a GT
Unataka watu wakuchukulie serious wakati Profile picture umeweka ya Muddy mwanaume mwenzio?😂
 
Wanasema kushuka na kupanda inategemea na soko la hisa,coz hizi fedha za mfuko wa bond fund nao UTT wanazipeleka kwenye masoko ya hisa
Mfuko wa Bond, makusanyo yake hayapelekwi kwenye hisa mkuu. Tofaut na mifuko mingine ambayo makusanyo yake huenda kuwekezwa kwenye hisa...hyo ni kwa maelezo yao.

Mfuko wa bond, makusanyo yake hupelekwa ama huwekezwa kwenye mapato ya kudumu ikiwemo dhamana za serikali na Account za riba kwenye mabenki.

Ila najua ni kwa nini unasema hisa zimeshuka,..kama ni mgeni naweza kukuelekeza especially mwanzoni mwa kila mwezi pesa huwa inapungua,, lakini vipande huongezeka..
 
Mkuu hebu nipe elimu zaidi coz bado ni mgeni huko UTT nimeanza June mwaka huu
 
Jamani kwa mtu ambaye hajawahi kufanya biashara ni wapi pazuri kuwekeza kama million 100?
  • Hisa, kampuni zipi Zina hisa Bora,,NMB,CRDB,TBL, Serengeti Bia,Wapi hasa na kwanini?
  • Bond..je za BOT 20 to 25 years?je ni rahis kuzipata mwananchi wa kawaida?
  • Fixed deposit..eg 14 pcnt mfano finca au Selcom microfinance?
  • UTT kwa miaka 10 amabpo unaweza pata jumla million 500 ikiww o na mtaji.
  • Au biashara ingawa shiwahi kuwekeza huko labda biashara ndogondogo nazo nilinipa changamoto nikapoteza mtaji hapo zamani.
  • Nasubiri ushauri wenu wadau
BOT ni kuzuri ila bond zinauzwa madalali kwa mdada. Ina ugumu kupata. Gawio lake inakaribia 1.6M per month kama utawekeza kuanzia miaka 20. Na unaweza kopa 80% ya kiasi ulichoweka na ukatumia kiasi hicho kununua hatifungani zingine. After 5 yrs unaweza kuwa na uwekezaji wa 180M gawio likiongezeka na kuwa more than 2.5 per month. Ila unalipwa kwa Instalment ya miezi sita. Kwa vyovyote vile zile 20b za Simba More alipeleka huku na ana enjoy gawio la more than 4B per yr wakati akisubiri mchakato. ukamilike.

UTT unapata gawio la 1% per month which means utakuwa ukipata 1M per month.. na uzuri wa huku unaweza kuwithdraw kiwango fulani pale unapopata matatizo kwa kutoa taarifa. UTT hawana mlolongo mwingi kama Bank ya nchi.

Huko kwingine sijui
 
Mimi nakuza Mtaji bila kuchukua faida, Account nimefungua tatu
Liquid
Bond
Umoja
Ok,kila mwanzoni mwa mwezi kwa yule mwenye option ya kukuza mtaji..huwa wanatoa amount fulani kutoka kwenye mtaji,,na wana update idadi ya vipande...baada ya kama siku mbili hivi utakuta ile amount iliyo ondolewa kununua vipande imerejea pale pale.

Mwanzoni nilipata pia mawazo lakini nilieleweshwa baada ya kuwapigia simu.
 
Shukrani sana mkuu, na hii ni kwa kila mfuko wa UTT au Mfuko wa Bond tuu
 
Shekheee, hizi ofisi za brokers waliosajiliwa na DSE. Sio vishoka kama nyie. Fanya kazi na brokers wenye leseni, sio vishoka janja janja
Sasa kwa nini umpeleke mafichoni badala ya kuongelea hapa hapa ili na wengine wanufaike? Ndiyo maana wanasema mmeanza utapeli!
 
Mimi nina bond pekee, huwa nina experience hivyo. Sina account za mifuko mingine. Na pia kila mwanzoni mwa mwezi bei huwa inaanzia chini halafu mwisho wa mwezi inakuwa juu. Graph huwa inaenda hivyo
Unaweza kushare experience yako kipi kilikuvutia ukaamua kufungua Bond na sio mfuko mwingine? Inaonekana umepata elimu na maelezo ya kutosha kutoka kwa wahusika sio vibaya ukatuambukuza elimu hiyo wengine hapa
 
Back
Top Bottom