Uko wapi mama yangu kwenye vilio na misibani hatukuoni
Mbwa wako wakali uliowapa mafunzo huko ulaya ambao unawalisha kwa fedha ulizotuchangisha kwa maguvu mbona Sasa wanawang'ata na kuwaparura wenetu!!
Nilifikiri utaitikia Ile milio mikali ya kengele za kanisa zilizotishia kupasua Ngoma za sikio la bi mkubwa Tanganyika umejificha hata hatukukuona ukiungana nasi kwenye masononeko ya mateso ya mwanakondoo ubaoni
Mama Abduli shikamoo huko kuliko msalimie yule mkwe wetu mpe TAARIFA kuwa Mrisho wa Kule Arusha ni mtu wa kulalamikalalamika kama kitindamimba
Mama fungia mbwa wako wasitung'ate eti kwa sababu tu tuliamua kuhama nyumbani.