Wanawake wana Ujasiri wa Ajabu sana!

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,664
33,864
20240510_184708.jpg


7772a39d222d0a2f7d9a8d6ff25cb47737d5b4f2.jpeg


Shaquille O'nel na mpenzi wake mpya wa miaka 21 wakila raha Spain....

Hapa kuna mtu atapata murder case🤣🤣
 
Huyo mzoefu huoni kwenye makutano ya nyusi ,panamkunjo fulani ,hiyo ni hali ya kut*mbeka sana kwa mwanamke ,mwogope mwanamke mwenye mkunjo huo usoni

Onyo
Unavowaza unamtesa jiuulize kwann unakumbatiwa sana mgongoni mwako,sio mdogo huyo

Ulinzi
Wanawake hupenda sana fujo uwanjani na pia ulinzi wawapo mtaani sio kuwa na mwanaume rojorojo
 
Back
Top Bottom