Hivi mnapata wapi ujasiri wa kuoa mke mwenye mshahara?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,909
36,752
Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu. Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi?
Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaidiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah

Nyie si ndio mnasogezewa maji ya kunawa kwa mguu🤣🤣🤣
Kama kusaididiana mbona kasi ya maendeleo kati ya familia zenu na zetu ziko sawa?

Are you serious kwamba unataka kusaidiwa maisha na mshahara wa mke wako? Kama kipato chako kidogo fungua mradi wa familia (usithubutu kumwambia hili duka ni lako 100% , umekwisha), mke wako asimamie, kwakuwa wana asili ya ubahili hiyo biashara itakuwa sana, ikikua ndipo mnafungua biashara zingine familia itaishi kwa amani na furaha. Ukimmilikisha tu kitakachozaliwa ni chake na hapo mbele atakuona mzigo, msumbufu na unamwingilia mipango yake. Ataanza kutafuta uhuru. Mwanamke akipata pesa anaanza kutafuta uhuru.

Wengi wanaharibu wanawaambia hili duka lako, hii kampuni yako, mke atasimamia kwa makini kipato cha dukani au kampuni kikianza kuwa kikubwa kuliko mshahara wako umekwisha.

Mifano ni mingi katika jamii. Fanya upumbavu wote usioe mke mwenye kipato cha uhakika. Iwe kipato kidogo au kikubwa. Don't try it.

Hapa sijazungumzia mapenzi anayofanya na bosi wake, work mate wake na client wake.
 
Teh teh. Mimi nashauri tuache kulia lia wanaume, life cant give all you want. Hatufungui fungui manyuz ya namna hii sio kwamba tuna perfect wives, ni vile msipende sana kuwazingatia wake zenu mtakufa kabla ya siku zenu.

U canrr controll humans, they have a will power even cant God controll. Just to manage usiwe affected nao basi
 
Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu.
Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi?
Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaididiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah
Nyie si ndio mnasogezewa maji ya kunawa kwa mguu🤣🤣🤣
Kama kusaididiana mbona kasi ya maendeleo kati ya familia zenu na zetu ziko sawa?
Are you serious kwamba unataka kusaidiwa maisha na mshahara wa mke wako?
Kama kipato chako kidogo fingua mradi wa familia (usithubutu kumwambia hili duka lako, hii como yako umekwisha), mke wako asimamie, kwakuwa wana asili ya ubahili hiyo biashara itakuwa sana. Wengi wanaharibu wanawaambia hili duka lako, mke atasimamia kwa makini kipato cha dukani kikianza kuwa kikubwa kuliko mshahara wako umekwisha.
Mifano ni mingi katika jamii.
Fanya upumbavu wote usioe mke mwenye kipato cha uhakika. Iwe kipato kidogo au kikubwa. Don't try it.
Hapa sijazungumzia mapenzi anayofanya na bosi wake, work mate wake na client wake.
Wenye mshahara wanashida gani? Hivi kama mwanaume unasimama kwenye nafasi yako unahudumia familia yako bila kutegemea mshahara wa mkeo, hapo kutakuwa na shida gani kwa huyo mwanamke? Usiogope kuoa mwanamke mwenye mshahara ila hakikisha huo mshahara wake hauzidi kipato chako, hakikisha unakuwa na vyanzo vya pesa kuliko mshahara wake. Saikolojia ya mwanamke ni hii mwanaume anatakiwa kumzidi mwanamke, kiumri, kiuchumi hata kielimu, sasa ikitokea mwanamke kamzidi mwanaume katika nyanja hizo ndoa haitoboi hiyo
 
Maelezo Yako yanatofauti ndogo sana, namleta mada!
 
Sasa wewe unataka wanaume watafute pesa kama wanatafuta roho zao zilizopotea. Dawa ni kutokutoa wenye mishahara
 
Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu. Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi?
Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaidiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah

Nyie si ndio mnasogezewa maji ya kunawa kwa mguu
Kama kusaididiana mbona kasi ya maendeleo kati ya familia zenu na zetu ziko sawa?

Are you serious kwamba unataka kusaidiwa maisha na mshahara wa mke wako? Kama kipato chako kidogo fungua mradi wa familia (usithubutu kumwambia hili duka lako, hii como yako umekwisha), mke wako asimamie, kwakuwa wana asili ya ubahili hiyo biashara itakuwa sana.

Wengi wanaharibu wanawaambia hili duka lako, mke atasimamia kwa makini kipato cha dukani kikianza kuwa kikubwa kuliko mshahara wako umekwisha.

Mifano ni mingi katika jamii. Fanya upumbavu wote usioe mke mwenye kipato cha uhakika. Iwe kipato kidogo au kikubwa. Don't try it.

Hapa sijazungumzia mapenzi anayofanya na bosi wake, work mate wake na client wake.
Kupatwa kwa waoa kazi badala ya waoa Wake wema sababu tu ya dhana potofu "kusaidiwa majukumu ya familia kwa pesa ya Ke"

Ubinadamu ni kazi Humanity is a work.
 
Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu. Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi?
Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaidiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah

Nyie si ndio mnasogezewa maji ya kunawa kwa mguu🤣🤣🤣
Kama kusaididiana mbona kasi ya maendeleo kati ya familia zenu na zetu ziko sawa?

Are you serious kwamba unataka kusaidiwa maisha na mshahara wa mke wako? Kama kipato chako kidogo fungua mradi wa familia (usithubutu kumwambia hili duka lako, hii como yako umekwisha), mke wako asimamie, kwakuwa wana asili ya ubahili hiyo biashara itakuwa sana.

Wengi wanaharibu wanawaambia hili duka lako, mke atasimamia kwa makini kipato cha dukani kikianza kuwa kikubwa kuliko mshahara wako umekwisha.

Mifano ni mingi katika jamii. Fanya upumbavu wote usioe mke mwenye kipato cha uhakika. Iwe kipato kidogo au kikubwa. Don't try it.

Hapa sijazungumzia mapenzi anayofanya na bosi wake, work mate wake na client wake.
We ukipata mke anafanya kazii ishi nae acha mawazo yakizamani!!! Ninapoishi kuna mshua mmoja mke wake ni mama wa nyumbani na mshua anakibunda ile mbaya lakini mama anakitombesha ile mbaya kwa hao boda boda, mbaya zaidi mshua akisafiri bod anaenda kulala pale na sometimes ndinga ya yule maza ubamkuta nayo boda!!!!’ Hiyo uliyosema haina maana kw dunia ya leo kikubwa tafuta w saizi yako muishi
 
Kumbukeni kuwa maisha hayana kanuni...binadamu ni kiumbe ambaye anabadilikaa na kamwe huwezi kumuwekea limitation..kila mtu aoe anaye mfaaa full stop...
"Maisha hayana kanuni" ila kamwe huwezi kumuwekea limitation Binadamu, mbona unajipinga mwenyewe?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu. Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi?
Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaidiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah

Nyie si ndio mnasogezewa maji ya kunawa kwa mguu🤣🤣🤣
Kama kusaididiana mbona kasi ya maendeleo kati ya familia zenu na zetu ziko sawa?

Are you serious kwamba unataka kusaidiwa maisha na mshahara wa mke wako? Kama kipato chako kidogo fungua mradi wa familia (usithubutu kumwambia hili duka lako, hii como yako umekwisha), mke wako asimamie, kwakuwa wana asili ya ubahili hiyo biashara itakuwa sana.

Wengi wanaharibu wanawaambia hili duka lako, mke atasimamia kwa makini kipato cha dukani kikianza kuwa kikubwa kuliko mshahara wako umekwisha.

Mifano ni mingi katika jamii. Fanya upumbavu wote usioe mke mwenye kipato cha uhakika. Iwe kipato kidogo au kikubwa. Don't try it.

Hapa sijazungumzia mapenzi anayofanya na bosi wake, work mate wake na client wake.
hii ni ishara ya roho ya uchoyo na uwezo mfupi wa kufikiri
 
We ukipata mke anafanya kazii ishi nae acha mawazo yakizamani!!! Ninapoishi kuna mshua mmoja mke wake ni mama wa nyumbani na mshua anakibunda ile mbaya lakini mama anakitombesha ile mbaya kwa hao boda boda, mbaya zaidi mshua akisafiri bod anaenda kulala pale na sometimes ndinga ya yule maza ubamkuta nayo boda!!!!’ Hiyo uliyosema haina maana kw dunia ya leo kikubwa tafuta w saizi yako muishi
Nnje ya mada, si kila ndoa ni takatifu, pia wapo wale wa "sogea tukae" waliokutana ktk mazingira tata kama baa ya one night stand bila kupeana muda wa kujuana historia ya maisha kitabia, mila, desturi, kabila, kijamii, kiafya, kikazi, kidini na kiutandawazi.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Back
Top Bottom