Wanawake waislamu wanaheshimu ndoa zao kuliko wanawake wa kikristo

Status
Not open for further replies.
Kunaa wanawakee wasio heshimu ndoaa km waislamu tena n wachafu wa tabiaa wanapendaa kusasambukakaa .au mavazi yao yanakudanganya ..njoo hukuu uswahili uone kilaa day kina mwajumaa ndalaa ndefu wanavyochezea kichapo cha waume zaoo
 
Na pia maeneo yenye wahislam wengi ndo ufuska kibao
Kanda ya ziwa hamna hufuska mwingi kwasababu waislam wachache saana
Acha kujidanganya ww ufuska siku hizi huwa unaku mobilized na mitandao saña, usichukulie mfano wa dar, dar kunamchanganyiko wa watu tofauti tofauti, lakini mbona hata mwanza kumechafuka tuu, tatizo ni mitandao ambayo sisi tunaiita maendeleo
 
Mimi ni Mkristo, lkn michepuko wangu wote ni wanawake wa kiislam, yan wale wa hijab muda wote...wapo wa-3; uzuri wao wanajua sana mapenzi na ukiwa nao no stress!
 
Unaesema kanda ya ziwa hakuna ufuska muongo,nimekaa shinyanga,full kugegedana,kahama vile vile,usidanganye watu.
 
Katika chunguza chunguza yangu nimekuja kugundua kuwa wadada wa kiislamu wanaheshimu zaid ndoa yao kuliko ambavyo wadada wa kikristo hufanya katika ndoa zao.

Ifahamike kuwa uchunguzi huu ni wa kijumla si wa mtu mmoja mmoja, haimainishi kuwa hakuna wadada wa kikristo wanaoheshimu ndoa zao la hasha wapo tena wengi sana, na pia wapo madada wa kiislamu wasioheshimu ndoa zao lakini katika takwimu za ujumla madada wa kiislamu hujali ndoa zao kuliko wa kristo.

Sababu kubwa niliyobaini ni ule upendeleo waliopewa wa waume zao kuweza kuoa wanawake mpk wanne. Hali hiyo huwafanya wanawake wa kiislamu kujali na kuheshimu ndoa yao kwa kiwango kikubwa lengo lao kubwa ni kuwavutia waume wao wasipate hamu wala wazo la kutafuta mwingine.

Hali hii huwa tofauti kwa madada wa kikristo walioambiwa na imani ya dini kuwa mme wake haruhusiwi kuoa tena hivyo mara nyingi hujibweteka na kutoifanyia ndoa yake vyema
mmmmh muda sio mrefu kuna mmoja ameniambia ananipa 0713 kesho,rudia uafiti wako
 
Nenda mikoa au wilaya zenye waislamu wengi ndio utakapogundua kuwa ulioyasema ni viseversa.
 
Labda ni mkeo tu haieshimu ndoa,sisi wetu wanaheshimu ndoa tena sana.Aibu yako umeoa malaya.
Maelezo ya juu kuwa si wote kisha takwimu ya ujumla mbona hapo mkuu huhitaji mpk uwe na degree kuelewa hata ambaye hajosoma hata darasa moja anaelewe we umesoma kwa pupa na mihemko tuliza akili soma kama unasoma kitabu tu utaelewa.
 
Katika chunguza chunguza yangu nimekuja kugundua kuwa wadada wa kiislamu wanaheshimu zaid ndoa yao kuliko ambavyo wadada wa kikristo hufanya katika ndoa zao.

Ifahamike kuwa uchunguzi huu ni wa kijumla si wa mtu mmoja mmoja, haimainishi kuwa hakuna wadada wa kikristo wanaoheshimu ndoa zao la hasha wapo tena wengi sana, na pia wapo madada wa kiislamu wasioheshimu ndoa zao lakini katika takwimu za ujumla madada wa kiislamu hujali ndoa zao kuliko wa kristo.

Sababu kubwa niliyobaini ni ule upendeleo waliopewa wa waume zao kuweza kuoa wanawake mpk wanne. Hali hiyo huwafanya wanawake wa kiislamu kujali na kuheshimu ndoa yao kwa kiwango kikubwa lengo lao kubwa ni kuwavutia waume wao wasipate hamu wala wazo la kutafuta mwingine.

Hali hii huwa tofauti kwa madada wa kikristo walioambiwa na imani ya dini kuwa mme wake haruhusiwi kuoa tena hivyo mara nyingi hujibweteka na kutoifanyia ndoa yake vyema
Tabia haitazami dini
 
Am a christian but i accept the thread by 100%,wanawake wa kiislamu big up xna mnajali ndoa zao.
 
Katika chunguza chunguza yangu nimekuja kugundua kuwa wadada wa kiislamu wanaheshimu zaid ndoa yao kuliko ambavyo wadada wa kikristo hufanya katika ndoa zao.

Ifahamike kuwa uchunguzi huu ni wa kijumla si wa mtu mmoja mmoja, haimainishi kuwa hakuna wadada wa kikristo wanaoheshimu ndoa zao la hasha wapo tena wengi sana, na pia wapo madada wa kiislamu wasioheshimu ndoa zao lakini katika takwimu za ujumla madada wa kiislamu hujali ndoa zao kuliko wa kristo.

Sababu kubwa niliyobaini ni ule upendeleo waliopewa wa waume zao kuweza kuoa wanawake mpk wanne. Hali hiyo huwafanya wanawake wa kiislamu kujali na kuheshimu ndoa yao kwa kiwango kikubwa lengo lao kubwa ni kuwavutia waume wao wasipate hamu wala wazo la kutafuta mwingine.

Hali hii huwa tofauti kwa madada wa kikristo walioambiwa na imani ya dini kuwa mme wake haruhusiwi kuoa tena hivyo mara nyingi hujibweteka na kutoifanyia ndoa yake vyema
Kwahiyo tufanyeje?
 
Kundi moja hapo likiwa linasaliti ndoa linakuwa makini sana mume asigundue. unapewa mzigo baada ya hapo hakuna simu wala meseji mpaka mtakapokutana. Huyu hata akija kwako akikaa sana ni dakika 90 anarudi kwake.
Kundi la pili likianza kusaliti ndoa huwa linajisahau sana. Huwa na tabia ya kuendeleza mahusiano ya nje na kubadili tabia. Anaweza kuja kwako akashinda kutwa nzima.
 
Na pia maeneo yenye wahislam wengi ndo ufuska kibao
Kanda ya ziwa hamna hufuska mwingi kwasababu waislam wachache saana
Duu unaijua Mbeya? Ndio mkoa unaongoza kwa madhehebu na makanisa mengi tz lakin fuatilia ufuska na mambo mengine ya ajabu so hoja yako haina mashiko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom