Wanawake waislamu wanaheshimu ndoa zao kuliko wanawake wa kikristo

Status
Not open for further replies.
Wakileta mbwembwe wanajua kuwa mzee lazima atafute plan B is unajua tena tuna option mpaka 4 za kuongeza mke

Duhhhhhhhhhhh! Niliuliza mama mmoja hivi ni kwanini wanne akajibu eti quran inasema ni ili huyo mwanaume akifa apate kulalia pande zote 4 mbele nyuma ubavu wa kushoto na kulia
Nasio kulalia upande mmoja atachoka
Khaa!!
 
Labda kwa wale waliopo pwani watubie rate ya kuachana. Mimi naona hali ni worse ukilinganisha na maeneo ya bara ka ma Kilimanjaro na MBEYA.

Huku MTU anaweza kuplewa kuvusha Idd tu ikipita ndoa inavunjika. Hivyo Wakati wa kuelekea mfungo ndoa zinakuwa nyingi na Mara baada ya kupita mfungo hamna ndioa.

Maeneo haya kuachana ni kitu cha kawaida sana.
 
Mtoa mada vipi kuhusu ndoa ya wastara na mbunge?

Utiifu kwenye ndoa ni kulingana na tabia na malezi ya mwanamke. Kama ni malaya hata kwenye ndoa atakitembeza tu iwe muislamu au mkristo. Kama ni mtulivu atatulia tu
 
Wewe mtoa mada, unaandika hivyo, je umemchunguza mkeo ? Acha kuingiza dini katika masuala kama haya. Shetani habagui dini kama wewe unavyobagua. Mchunguze mkeo kwa undani jibu utalipata.
 
Duhhhhhhhhhhh! Niliuliza mama mmoja hivi ni kwanini wanne akajibu eti quran inasema ni ili huyo mwanaume akifa apate kulalia pande zote 4 mbele nyuma ubavu wa kushoto na kulia
Nasio kulalia upande mmoja atachoka
Khaa!!
bora hata yeye ameamua kujipa sababu ya kukubali huo utaratibu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom