ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Hao jamaa wanatesa ndugu, acha kabisa. Unakuta wazazi wake walimsomesha kwa kujinyima, cha ajabu jamaa anafanikiwa, kumnunulia mama yake japo kanga tu hakuna, wadogo zake wanahitaji ada hata elfu 20, au hela ya kununua tu uniform za shule hawapati, lakini upande wa mke wa kichagga au kihaya anasomesha ndugu zake hata 3, tena private schools! Hili swala ni kama hati ya dharura bungeni![/QUOTE
ni ukweli zamani wanawake wa kichaga walikuwa wanaendeleza kwao,, lakini sasa wameshtuka kuona wanatumika tu huko mwakao, maana wazazi hupendelea watoto wa kiume...wamejirudi sana na wanalea vizuri sana sana familia zao na hata wakwe zao...