Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

Status
Not open for further replies.
Hivi mwanaume unaanzaje kupelekeshwa na mwanamke? Mada zingine bwana. Yaani unaacha kuoa kabila fulani kwa kuogopa wanawake wa hilo kabila sijui mara ooh malaya sana, wauwaji, washenzi n.k. Huo ni udhaifu mkubwa.

Naongelea mambo ambayo nimekuwa nikishuhudia tangu nianze kukua mpaka sasa, wewe sema wenzko waoga!
 
poleni zenu mwanamke si kabila ni tabia. kuna watu wanavyooa wanaangalia mengi. kuna wengine wanaangalia mpk quality ya watt kuanzia akili mpk sura. any way mimi ni mchanganyiko wa makabila manne na niko very proud. watu wakichanganya damu ni vizuri kuna somebad characters tunaziondoa na our physical features zinabadilika hata ukiangalia watt wengi wa sasa hivi hawana yale mapua makubwa ya kibantu yaani kabla hujaona uso unaona puathanks to kuchanganya damu.
 
Na suala la kusema sijui wanawainamisha wanaume zao kwa kuwaroga bado ni upambafu tu. Unakuwaje zembe unarogwa na mwanamke aidha mke au hawara. Narudia ni ungese mkubwa mwanaume kushikwa masikio na mkeo. Hata Mungu atakutia jehanamu mwanaume jinga wa namna hiyo.

Mwanamke anapaswa kuwa chini yako. Lakini hii si kumaanisha umnyanyase, la hasha!
 
poleni zenu mwanamke si kabila ni tabia. kuna watu wanavyooa wanaangalia mengi. kuna wengine wanaangalia mpk quality ya watt kuanzia akili mpk sura. any way mimi ni mchanganyiko wa makabila manne na niko very proud. watu wakichanganya damu ni vizuri kuna somebad characters tunaziondoa na our physical features zinabadilika hata ukiangalia watt wengi wa sasa hivi hawana yale mapua makubwa ya kibantu yaani kabla hujaona uso unaona puathanks to kuchanganya damu.

Toa mfano wa hizo pua, nimecheka sana.
 
kwa uzoefu wangu wanawake wa kichaga na kihaya wana hulka tofauti, wanaweza kufanana hulka moja tu ya utafutaji maisha, yaani wote sio watu goigoi
 
ukiwa mtafutaji ukipatamwanamke wa kichaga oa, wanaforce na wako very strategic ktk kutafuta maendeleo hasa akiwa na shule kichwani

wana financial discipline ya hatari. shuhuda mi mwenyewe mke wangu mchaga wife anamchango mkubwa sana ktk mafanikio ya familia yetu kuanzia nyumba, viawanja, mashamba mpaka kampuni ananipa mzuka wa kupambana kila siku
 
kwa uzoefu wangu wanawake wa kichaga na kihaya wana hulka tofauti, wanaweza kufanana hulka moja tu ya utafutaji maisha, yaani wote sio watu goigoi

Mkuu sijasema wanawake wa kichagga au kihaya wakiolewa na mtu maskini atafanikiwa, nikinyume wananyatia wenye ufanisi tayari, watafanya lolote ilimradi wakupate.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom