Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 5,051
- 6,768
Inawezekana kukawa na Upenyo wa Kisheria Kwa Watu ambao wanenunua Ticket, wengine wamelipia Usafiri wa Ndege, Ma bus ama kutia Mafuta kwenye magari Yao kuja Dar es salaam.
Wamelipia Hotel ama Gesti, Sasa wanaambiwa Mechi imeahirishwa na Bodi ya Ligi.
Hakuna namna Mashabiki wanaweza kufungua Kesi Mahakamani!?
Na wakifungua Kesi wanaenda kumshtaki nani..!?
Kwa vile JF inao Wanasheria wengi hapa wanaweza kutoa msaada wa Kisheria ili tuwanyoroshe Hawa Bodi ya ligi na hiyo Kamato ya masaa 72, wanaweza kutia Akili siku nyingine wakaficha Ujinga wao.
Asante.