Wanandoa kukaa zaidi ya mwaka bila kufanya tendo la ndoa

Exactly. Parenting is a great responsibility. Time and money. People can never seem to have both. Wenye hela wameishia kutuachia sie non mothers kutunza wanao. Wenye muda, ndo hao kukimbizana na maghufuli apunguze michango.
Unfortunately kwenye ukoo wetu watoto wamesumbua sana labda ndomana naogopa kabisa. Kila mtoto kaleta jipya kwetu. Wazazi full stress. Hapana aisee.
Hivi wewe ni housegirl wa mzungu ama?!mbona unabonga sana kidhungu!!by the way boss wako anatafuta smart phon yake kumbe unaitumia ww huku jf!haya mrudishie haraka ukaoshe vyombo!
 
Hivi wewe ni housegirl wa mzungu ama?!mbona unabonga sana kidhungu!!by the way boss wako anatafuta smart phon yake kumbe unaitumia ww huku jf!haya mrudishie haraka ukaoshe vyombo!
Ina maana housegirl wenu Hana hata ka Android? Kwa hii dunia ya leo mtu kutokuwa na access na Internet ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Ndo mana mnaishia kushangaa wasiotaka watoto.
 
Ina maana housegirl wenu Hana hata ka Android? Kwa hii dunia ya leo mtu kutokuwa na access na Internet ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Ndo mana mnaishia kushangaa wasiotaka watoto.
Mimi sikushangai my housegirl and u kno what a'v understood u vere much,its not tht kwamba u don nid a bby ni ile tu kuwa dont nid a kid under umaskinihood!ndo mana mi nkakuomba jmn mie niko vzr kipesa but cna even a singo kid hata wa kusingiziwa!plz lets make it happen my!(nimejaribu na mm kutupia lugha ya wakoloni hapo kidogo--cjui nimeeleweka au ndo chenga tu)
 
Hapa ndiyo kuna shida.

Tamaa ya kutaka kufanikiwa maishani imeenea duniani kote. Hali imebadilika sana, jinsia ya kike inataka kujitosheleza kwa kila kitu. Lakini mabadiliko ya kibaiolojia yanabaki vile vile mfano kuzeeka nk.

Mafanikio wanayowaza wengi ni utajiri wa pesa na elimu kubwa. Hii imesababisha wanawake na wanaume wengi kusoma sana na kufanya kazi kupita kiasi, hata kupuuzia suala la kuzaa mapema.

Wengi wanashtuka ikiwa umri wao ni zaidi ya miaka 30, ndio wanakuwa na tamaa ya kuzaa. Kuchelewa kwao kuzaa kunaweza kuwa kwa taabu ama kuzaa watoto wenye matatizo mengi ya kiafya.

Kwa miaka mingi, wataalamu wengi wa afya ya uzazi bado wanaamini miaka 20-35 ndio umri sahihi kushika mimba na kuzaa.

Pia, wengi wakifikiri matatizo mengi ya uzazi huongezeka baada ya miaka 35 na huwa zaidi baada ya miaka 40.

Kwa wenzi wawili wanaoishi pamoja, kuchelewa kuzaa huathiri pia wenza wa kiume, ambapo mbegu za uzazi za mwanaume hudhorota kila mwaka upitao na watoto wamaotokana na wanaume wazee huwa na hatari zaidi ya kupata matatizo ya akili na matatizo ya chembe za urithi.

Pia, hatari ya kupata kisukari kwa wanawake wanaoshika ujauzito wakiwa na miaka 35 na zaidi, huongezeka sana. Kisukari kipindi cha ujauzito huongeza hatari ya kutoka mimba (Miscarriage), kuzaa mtoto mwenye kasoro au kuzaa mtoto mkubwa kupita kiasi.
 
Hatujawaongelea "wao" hehehe nimegusa penyewe nini


Amini uaminivyo ila siishi kufurahisha wengine. Eti nizae tu kuionesha dunia kua nina uzazi. Ninaishi nitakavyo.
We zaa tu kama ndipo furaha yako ilipo ila usimlazimishe mwingine kuwa kama wewe.
 
Utakuwa na matatizo ya uzazi tu si bure!au hujapata mtu sahihi wa kuzaa nae!ktk hali ya kawaida kwa binadamu aliyetimamu, na ana mtu ambae anaona ni sahihi anaweza kuzaa nae hawezi kusema eti sitaki watoto,mtu wa hivi huwa lazima ana shida ya kizazi au ana matatizo ya kimahusiano!
Mjasiriamali huyoo...ana biashara yake kinondoni makaburini kuanzia saa 6 utamkuta.sasa akibeba mimba na akizaa biashara itaharibika na atakosa chakula.
 
Back
Top Bottom