brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,275
Hahahaa nimecheka..Sorry I find our German Shepherd more clever than you.
Bye
Hahahaa nimecheka..Sorry I find our German Shepherd more clever than you.
Bye
You're being ignorant.Hata sisi tumefika huko mnako kuita duniani kote familia yyt bora inawahusia watoto wao waoe wapate watoto lkn kama unazungumzia Red-Neck au Black-Thugs hapo nitakulewa
The guy has not the slightest idea what it meantHahahaa nimecheka..
Mm sizungumzii ndoa nazungumzia mtoto uwe hujaoa,au hujaolewa!Na sio kila mtu anataka ndoa
Ngoja nikusaidie kwa jibu langu mimi labda litakusaidiaLkn ww UNATAKA NDOA lkn HUTAKI watoto na hapo ndipo tunapokukatalia,hamna mwanamme wa aina hiyo Tanzania!Kama HUTAKI pia NDOA hayupo atakaye kushangaa kama pia HUTAKI watoto!
Je wewe HUTAKI NDOA na MTOTO?
Watoto ndo huwa wanaharibu sex life.
Me watoto hapana kwakweli
Mzungu aliye lelewa vyema kwao akimaliza chuo anaoa/anaolewa wanapata watoto!Wewe unaongelea delusional life tu!Na sana sana mawazo kama haya yapo kwa empty bold head South East ChicagoYou're being ignorant.
Wewe ndo unaongelea mared necks manake wanaishi utafkiri wabongo tu.
Me sijui ulienda wapi otherwise huko duniani si ajabu kukuta couples bila watoto
Eti!huko duniania!kwan hapa mbinguni!ebu tuacheni sie na utamaduni wetu wa kupenda kuzaa watoto!sasa housegirl vp mamy mbona umekuwa mgumu ivo km supu ya mawe jamani!?I need a kid with u plzYou're being ignorant.
Wewe ndo unaongelea mared necks manake wanaishi utafkiri wabongo tu.
Me sijui ulienda wapi otherwise huko duniani si ajabu kukuta couples bila watoto
Too ignorant. ByeMzungu aliye lelewa vyema kwao akimaliza chuo anaoa/anaolewa wanapata watoto!Wewe unaongelea delusional life tu!Na sana sana mawazo kama haya yapo kwa empty bold head South East Chicago
Are you still living under UTOPIAN sentiment?Acha kujidanganya mtoto muhimu ktk ndoa yyt halali hapa duniani labda uniambie wewe ni mgumba
Haha hapo kasema shepherd wa kijerumani daah.... Ungesema breed ya chihuahua ndio ungemuacha kabisa..The guy has not the slightest idea what it meant
Mkuu ASIKUBABAISHE huyu,huko anako sema duniani HAISHI pekee yake,na wazungu ndoa kibao zinavunjika sababu ya kukosa watoto!Eti!huko duniania!kwan hapa mbinguni!ebu tuacheni sie na utamaduni wetu wa kupenda kuzaa watoto!sasa housegirl vp mamy mbona umekuwa mgumu ivo km supu ya mawe jamani!?I need a kid with u plz
Huwezi kuzaa Kisa unapenda kuzaa... Ndomana watu wanalipwa laki mbili na nusu halafu wana watoto! How???? Kweli tunatofautiana.Eti!huko duniania!kwan hapa mbinguni!ebu tuacheni sie na utamaduni wetu wa kupenda kuzaa watoto!sasa housegirl vp mamy mbona umekuwa mgumu ivo km supu ya mawe jamani!?I need a kid with u plz
Duniani wapi waa ndoa hawataki watoto?Au huko USA au Ulaya mnadhani sisi hatupo?Then unamtukana binadamu mwenzako kwa kusema Mbwa wenu ni bora kuliko yy?Acheni dharau hata sisi huko mlipo tupoToo ignorant. Bye
LolMkuu ASIKUBABAISHE huyu,huko anako sema duniani HAISHI pekee yake,na wazungu ndoa kibao zinavunjika sababu ya kukosa watoto!
Wewe kama huoni sehemu nyingine ni kawaida couples kutokuwa na watoto sio tatizo langu. I won't waste my time proving it.Duniani wapi waa ndoa hawataki watoto?Au huko USA au Ulaya mnadhani sisi hatupo?Then unamtukana binadamu mwenzako kwa kusema Mbwa wenu ni bora kuliko yy?Acheni dharau hata sisi huko mlipo tupo
Nimeishi na wazungu muda mrefu sana nikiwa chuo na baadae kazini!Hamna ndoa ambayo mtoto akikosekana haiyumbi!Tena wazangu ndiyo huwa balaa zaidi!Nina ushahidi mwingi tuLol
Endelea kuwadanganya
Jamani!housegirl,si wewe ndo ulinambia huwez kuzaa ktk umaskini nkakwambia mimi niko vizuri kifedha naomba basi tuzae mamy!Huwezi kuzaa Kisa unapenda kuzaa... Ndomana watu wanalipwa laki mbili na nusu halafu wana watoto! How???? Kweli tunatofautiana.
Ahahaha JF is very funny!Kwa sababu hatufahamiani acha tu tudharauliane na kuitana majina mabaya!!Wewe kama huoni sehemu nyingine ni kawaida couples kutokuwa na watoto sio tatizo langu. I won't waste my time proving it.
Nilimjibu hivyo kaangalie alichokuwa anasema. And BTW, German Shepherds are very intelligent
Nimeishi na wazungu muda mrefu sana nikiwa chuo na baadae kazini!Hamna ndoa ambayo mtoto akikosekana haiyumbi!Tena wazangu ndiyo huwa balaa zaidi!Nina ushahidi mwingi tu
Point of interruption, kama mingapi mkuu? Hapo kwenye nyekundu.Kikubwa wanandoa wanapaswa kujua na kutambua sex ndio kiunganishi kikubwa kati yao na katu wasiruhusu chochote kuingilia kati. Pia nishauri kwa mwanaume oa mwanamke unayemzidi miaka mingi katu usioe mwanamke mnayelingana ama anayekuzidi umri hasa akiwa kwenye 30s na kuendelea. Ni ushauri tu.