Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Ni angalizo tu nimetoa mkuumshikaji hapo juu anasema ndo maana watu wananawiri kwa kula vibudu, na wewe hutaki kunawiri?
Ni angalizo tu nimetoa mkuumshikaji hapo juu anasema ndo maana watu wananawiri kwa kula vibudu, na wewe hutaki kunawiri?
lakini ukinunua udai risiti MKWEPA KODI...Uzuri mimi huwa nanunua kuku mzima wa kienyeji anaenda kupikwa nyumbani kwa hiyo hii habari hainihusu
Kuendesha mkuu, baada ya kula ilibidi kuingia gharama nyingine tena kujitibu, nimehakikisha kua vyakula vya usiku kwenye hizi pubs na bars sio safe.shombo au nini?
Sasa hapa mfumo umeingiaje....Amen..
pole sana mkuu! Kama upo ndani ya basi la mwendokasi na tumbo lianzishe mwendokasi mbona utatamani kushuka utembee?Kuendesha mkuu, baada ya kula ilibidi kuingia gharama nyingine tena kujitibu, nimehakikisha kua vyakula vya usiku kwenye hizi pubs na bars sio safe.
Vibudu au siyo vibudu sio issue,issue ni maisha magumu,wewe unaenda kula kuku gengeni bei poa,eti shs 500 paja lakuku unategemea kuku safi,basi wewe jilie kuku ukalale.Watendaji wa ofisi ya Buguruni wilayani Ilala hivi karibuni walimkamata Ali Ibrahim aliyekutwa na vibudu vya kuku 79 akiwauzia wafanyabiashara wanaokaanga chipsi na kuku katika maeneo hayo.
Akizungumzia hilo, mtendaji wa kata wa Buguruni, Remmy Mishekh anakiri mtuhumiwa kufikishwa katika ofisi yake akiwa na na vibudu hivyo kwenye viroba.
Chanzo: gazeti la Mwananchi
Huyu kamanda ameamua kuwamaliza kimya kimya! Sijui anamwabudu Mungu yupi!.
Si nasikia kuna toilet humo?pole sana mkuu! Kama upo ndani ya basi la mwendokasi na tumbo lianzishe mwendokasi mbona utatamani kushuka utembee?
Nasikia toilet iko pembeni ya dereva.hata cjui, labda aliyepanda atujulishe
Uzuri mimi huwa nanunua kuku mzima wa kienyeji anaenda kupikwa nyumbani kwa hiyo hii habari hainihusu