Wanajeshi wakitizama wavuvi wanavyovuta ndege kwa kamba

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
892
1,710
3CAE6483-AAED-4B26-BB32-8B3CC2900932.jpeg
 
Tuna VIONGOZI MAAAPUMBAFUUU
imefikia hatua wenye akili wameamua kuachana na siasa, sasa siasa imevamiwa kama chaka la kusaka ajira, Tanzania inakoelekea ni kubaya, nikikuambia nitajie mfumo hata mmoja unaofanya kazi kikamilifu utakwama..nitajie taasisi ya umma inayofanya kazi inavyotakiwa utakwama...

Hii ndiyo Tanzania aliyoiasisi Mwalimu - kwisha.
 
Baada ya hapo kipigo kwa boda bora na raia, niliwahi kuishi karibia na kambi ya Jeshi, wakimaliza mafunzo yao tu ya “Kijeshi” wanaingia mtaani kupiga raia waliofundishwa kuwalinda, Go figure!
 
Baada ya hapo kipigo kwa boda bora na raia, niliwahi kuishi karibia na kambi ya Jeshi, wakimaliza mafunzo yao tu ya “Kijeshi” wanaingia mtaani kupiga raia waliofundishwa kuwalinda, Go figure!
Haya Yanatokea Tanzania Tu, Ujinga Wa Taasisi Ni Mkubwa Sana
 
Back
Top Bottom