The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,683
- 3,110
Habari wana bodi.
Kutoka Vyanzo vya habari vya The guardian, Wanaandika yakua Rwandan troops wanakufa kwa wingi, wanasafirishwa na kuzikwa kwa siri sana hapo Rwanda.
Pia kinaeleza kua wazazi wa hao wanajeshi hawapewi taarifa za kina juu ya vifo vya watoto wao ila wanaambiwa "they died in a battle field"
The guardian inaeleza pia, Kuna wakati inakua ngumu ku rudisha miili hyo ya wanajeshi rwanda kwa familia zao, Ambapo wanafamili wanapewa empty coffin wazike, kwa usimamizi wa jeshi na hakuna kuaga mwili.
Pia troops zinakua deployed DDC kwa siri sana, Ambapo The guardian ina quote simu moja wapo kutoka kwa Wanajeshi wa Rwanda kwenda kwa familia yake ikisema "Tomorrow we are deployed to DRC play for me"
Pia wametoa Satellite image, ya one millitary cementary ikionyesha kuongezeka kwa makaburi kati ya 2022 na 2024 kufikia mara mbili ya makaburi yaliokuwepo 2022.
Kwa taarifa hizi, Inasikitisha kumsikia kagame akisema They have nothing to loose in this fight, Haoni kama hawatendei haki familia zilizo poteza wapendwa wao kwenye hii vita yake.
Source The guardian Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role