dogman360
Member
- Oct 15, 2018
- 99
- 162
Napenda kuchukua fursa hii kuiomba serikali iondoe tofauti kati ya wanafunzi wa kozi ya Clinical Medicine waliomaliza mwezi wa Machi level 6 na wale wa Septemba. Inaonekana ni dhuluma kwa wanafunzi wa Machi kusubiri hadi Agosti ili kufanya mitihani yao ya supplementary wakati wenzao wa Septemba wanapata fursa hiyo mwezi mmoja tu baada ya kutangazwa kwa matokeo. Maana mpaka saivi hatuna taarifa za supplementary na zishapita wiki mbili saivi.
Hili linasababisha usumbufu mkubwa kwa wanafunzi wa Machi, na linaweza kuathiri sana maisha yao na maandalizi ya kazi. Tunaomba kwamba wanafunzi wote wa Clinical Medicine wapewe fursa sawa ya kufanya mitihani ya supplementary kwa wakati unaofaa baada ya kutangazwa kwa matokeo yao.
Ni matumaini yetu kwamba serikali itachukua hatua kuhakikisha haki sawa kwa wanafunzi wote Asanteni kwa kunisikiliza