Wanafunzi 194 Momba wapewa mimba ndani ya mwezi mmoja: kazi iendelee

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,930
2,205
Mwanadamu ukimpa uhuru uliyopitiliza matokeo yake ndiyo haya.imagine mtoto wako katiwa mimba Ili baadaye akijifungua akuachie kijukuu na kurudi shuleni!!

Kwa sababu tumekubariana tuwape uhuru wa kubeba mimba na kurudi mashuleni ,naomba pia tuwape uhuru wa kutumia Kinga dhabiti wasibebe mimba .Kinga kama sindano na kijiti ni nzuri sana kwa watoto Hawa Ili angalau wasikatishe masomo kwa sababu ya kitiwa mimba .Lakini pia tuwape uhuru wa kumeza ARVs pindi wapatapo maambukizi ya ungonjwa utokanao na starehe
 
Magu alikua na uono wa mbali.
Yule mtu alikua genius.
 
Mwanadamu ukimpa uhuru uliyopitiliza matokeo yake ndiyo haya.imagine mtoto wako katiwa mimba Ili baadaye akijifungua akuachie kijukuu na kurudi shuleni!!

Kwa sababu tumekubariana tuwape uhuru wa kubeba mimba na kurudi mashuleni ,naomba pia tuwape uhuru wa kutumia Kinga dhabiti wasibebe mimba .Kinga kama sindano na kijiti ni nzuri sana kwa watoto Hawa Ili angalau wasikatishe masomo kwa sababu ya kitiwa mimba .Lakini pia tuwape uhuru wa kumeza ARVs pindi wapatapo maambukizi ya ungonjwa utokanao na starehe
Mkuu wa Mkoa mpya ndiye kapeleka hilo pepo la uzinzi huko.
 
Mwanadamu ukimpa uhuru uliyopitiliza matokeo yake ndiyo haya.imagine mtoto wako katiwa mimba Ili baadaye akijifungua akuachie kijukuu na kurudi shuleni!!

Kwa sababu tumekubariana tuwape uhuru wa kubeba mimba na kurudi mashuleni ,naomba pia tuwape uhuru wa kutumia Kinga dhabiti wasibebe mimba .Kinga kama sindano na kijiti ni nzuri sana kwa watoto Hawa Ili angalau wasikatishe masomo kwa sababu ya kitiwa mimba .Lakini pia tuwape uhuru wa kumeza ARVs pindi wapatapo maambukizi ya ungonjwa utokanao na starehe
Nadhani hizo shule hazina ule utaratibu wa kuweka mafuta ya taa kwenye maharage ili kuzuia...see more
 
Wameruhusiwa kuzaa? Tumekwisha, sisi tumesoma shule ukikamata na simu unafukuzwa shule.

Sisi tumelelewa na wazazi, mpaka f6 hujawahi fanya mapenzi.

Sisi tumelelewa na wazazi saa 12 jion lazima ikukute nyumbani.

Mtoto yuko secondary atumie uzazi wa mpangi njiti? Akija kumaliza chuo?

Hiki kizazi cha 2000 hamna kitu.
 
Serikasi itowe ruhusa Ndowa za mapema ,
Pia naipige marufuku Uzinzi.
Ikiwezekana sheria za Torati zizinduliwe rasmi kwa wazinzi ili kuweka LAW and ODER katika taifa.
nashauri tuu.

Njia waliyopita wahenga itatuvusha.
 
Back
Top Bottom