1. Alisema Abraham Lincoln:
2. Hawa ndiyo wale vijana jeuri akiwataka sana Nyerere (RIP):
3. Sasa kimenuka Marekani; kumeibuka vijana jeuri wasiotaka kuwaona wala kuwasikia tena wa aina ya kina Biden, Blinken, Bibi au washirika zao. Kuliko kisiwa cha demokrasia sasa kama Kwa akina Muroto? Kweli haki ya kutoa maoni Iko majaribuni kweli kweli!
4. Vijana wa aina hii hata kwetu walikuwapo sana. Ila hizo ni kwenye enzi za akina Warioba, Mwabulambo, Shivji, Garang, Museveni, Chachage, William Sarungi, Matiko Matare, Bazigiza, Mtungirehi, nk; na labda hadi kizazi cha kina Zitto mlimani pale. Hiyo si leo. Hizo zikiwa zile zama kabla usomini hapo ya kujisajili kwenye "ujalala" tena kiroho safi.
5. Leo hii tuko zama ngeni zisizokuwa na kutamanika popote. Tulipo, tumesheni wa aina za akina Lucas Mwashambwa, johnthebaptist na wale wengine waliovimbiana kwa kukodolea ruzuku; wakishindana kusifu na kushukuru.
6. Kwamba vijana wasioukubali upumbafu hawa vyuoni Marekani huko; wote ni waislam, waarabu, wapalestina, HAMAS au ni wafia dini kindaki ndaki tu kama hawa wa kwetu huku?
5. Kwamba eti wote hao ni wapuuzi, isipokuwa hii timu ya akina MK254, Moisemusajiografii, Yoda, Mpaji Mungu, Mzee Kigogo au wafia dini wengine wowote tu?
Asema Simba Tandale pale: "Aaah wapi!"
6. Kwamba wote hao wamepotoka ila aina za kina JokaKuu na wenzao wenye kujiaminisha kuwa ni upuuzi kujishughulisha na wasiyokuwa na maslahi kwao; wakati wao wenyewe hawashughuliki kwa lolote?
7. Ama kwa hakika "viva sana vijana jeuri," kwa maana ukombozi bila ninyi upatikane wapi?
8. Kwamba polisi? Kwani polisi kitu gani?
9. No wonder hata katiba mpya hatutapata bali tutakirimiwa kitakachokuwapo kwa hisani ya CCM.