Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Bado wana bando LA chuo waache
"Walimu" ni wengi kada ya ualimu ina wema na wabaya. Wanafunzi vile vile. Ukijumuisha kwa maneno kwamba "walimu" ina maana nchi nzima.Hatuwajadili wanafunzi tunajadili walimu wenye hizo Tabia chafu
ingekuwa ni kosa moja analitenda mtu mmoja tusingesema hivyo tatizo ni makosa mengi na ni watu tofauti Ndio maana nimetumia wingi ni walimu Sio Mwalimu mmoja"Walimu" ni wengi kada ya ualimu ina wema na wabaya. Wanafunzi vile vile. Ukijumuisha kwa maneno kwamba "walimu" ina maana nchi nzima.
Generalization huwa haitumiki kwa namna kama unayoitumia wewe, na kama ni utafiti juu ya hilo umeufanyia wapi na kwa kutumia sample za aina ipi?
Taratibu mkuu.
niliyemtukana nani???Maadili gani haya umefunzwa na wazazi wako ya kutukana watu?,au wewe ni mtoto uliyekulia mitaani??!!!![]()
![]()
![]()
![]()
walimu wenye vichwa vyepesi ni rahisi sana kuwabaini.Walimu alikuwa mwalimu Nyerere na Yesu pekee ...hawa wasiku hizi ni waganga njaa tu.
kati ya yote mnayonikera ni kung'ang'ana na wanafunzi.mimi ni mwalimu ngoja nipite kimya hapa.. maana inaonyesha hamjui mlisemalo
"Walimu" ni wengi kada ya ualimu ina wema na wabaya. Wanafunzi vile vile. Ukijumuisha kwa maneno kwamba "walimu" ina maana nchi nzima.
Generalization huwa haitumiki kwa namna kama unayoitumia wewe, na kama ni utafiti juu ya hilo umeufanyia wapi na kwa kutumia sample za aina ipi?
Taratibu mkuu.
Jibu unalolitoa halijitoshelezi.ingekuwa ni kosa moja analitenda mtu mmoja tusingesema hivyo tatizo ni makosa mengi na ni watu tofauti Ndio maana nimetumia wingi ni walimu Sio Mwalimu mmoja![]()
![]()
Tulia mkuu
Siwezi kutumia umoja (Mwalimu) Huku nimeona video Zaidi ya tano lazima niseme wingi (walimu) kwasababu wapo wengiJibu unalolitoa halijitoshelezi.
Walimu wengi wanaanzia wangapi?
Mi ni mwalimu na sina tabia hizo. Siwezi kumwonesha mwanafunzi mwingine maksi za mwenzake.
Unaniweka kundi gani?
Ungetumia "baadhi ya walimu" lakini sio "walimu"
Busara zitakusaidia na kukupa heshima.
Uzuri wa mwalimu ni kwamba anakuwa kama mzazi.i wonder why are you so obssesed!!
Nasisitiza, "baadhi" badala ya "walimu"Siwezi kutumia umoja (Mwalimu) Huku nimeona video Zaidi ya tano lazima niseme wingi (walimu) kwasababu wapo wengi
Kila amtukanaye mwalimu ana mapepo. Hakuna mwalim kilaza ndio maana alisomea kazi hiyo na akafaulu. Pia hakuna mwalm wa sec ambaye alifeli ndio akaenda kusomea ualimu, kuna walimu wana Division I zao wamesomea ualimu leo mnasema ni vilaza hizo ni kauli za kipumbavu......samahani kwa hili cyo tusi.Wakiambiwa inaonekana wanaonewa
Waalimu ni janga la uadilifu wa watoto nchini, yaani waalimu wengi ni vilaza na malimbukeni...samahani kwa hiyo kauli. Unajua huu mchezo wa kuchukua maksi za chini ndio wasomee ualimu...haiko sawa. Yaani kwenye Whatsap Nina waalimu ambao wanapost vipicha vya watoto yaani anafundisha anamuita Mtoto mmoja anaklmuelekeza ampige picha akiwa anafundisha...au anamuita mwalimu mwenzie ampige picha...au ampige picha akiwa anawachapa watoto...yaani waalimu ni shidaaaa!!!.. Sijui lakini huko tuendako....ila kwasasa waalimu ni vilaza
afadhali wewe ni muungwana kuliko wengine wengi ambao ni asilimia kubwa.Jibu unalolitoa halijitoshelezi.
Walimu wengi wanaanzia wangapi?
Mi ni mwalimu na sina tabia hizo. Siwezi kumwonesha mwanafunzi mwingine maksi za mwenzake.
Unaniweka kundi gani?
Ungetumia "baadhi ya walimu" lakini sio "walimu"
Busara zitakusaidia na kukupa heshima.
unachosahihisha nini hapo!??Uzuri wa mwalimu ni kwamba anakuwa kama mzazi.
i wonder why you are so Obsessed
Nakutakia maisha mema
Mkuu pole sana.Kila amtukanaye mwalimu ana mapepo. Hakuna mwalim kilaza ndio maana alisomea kazi hiyo na akafaulu. Pia hakuna mwalm wa sec ambaye alifeli ndio akaenda kusomea ualimu, kuna walimu wana Division I zao wamesomea ualimu leo mnasema ni vilaza hizo ni kauli za kipumbavu......samahani kwa hili cyo tusi.
Ungeniambia kuna baadhi ya walimu hawana maadili mema pengine ni kutokana na malez walivyolelewa kwenye familia zao na jamii inayowazunguka imewafanya wawe hivyo.
Pili lazima ujaribu kutathmin mfumo wa elimu ya sasa na zamani tulivyosoma sis ni tofauti. Zaman kati ya wanafunzi 50 darasani wanafaulu 3 au 1 lakin sasa hivi darasa lina wanafunzi 100 wote wanafaulu kwenda secondary halafu hajui kusoma hata kunakili notes ubaoni ni hawezi. Unadhani hapo kilaza ni mwalimu au mwanafunzi?
Mnaomtusi mwalimu leo mnajitakia matatizo ambayo kamwe kujiondoa kwayo lazima uingie gharama maana Mungu anawaona.
Mwalimu ndiye amebeba hatima nzuri ya maono ya mtoto. Je wanafunzi wanaofaulu leo na kujiunga form 5 na 6 na kufanya viziri hadi Universities hao wamefundishwa na mashetani?
Mungu anawaona. Ipo siku hawa walimu mnaowatusi leo mtakuja kuwakumbuka, mtawatafuta hamtawaona wakati watoto wenu watakuwa kwenye uhitaji wa walimu kama hawa.
Napinga kabisa kwamba walimu ni vilaza bali walimu wameenda shule, wana div 1au2. Nani atakwenda Chuo kikuu ma div 3?
Chungeni sana vinywa vyenu visije vikasababisha mkose mema ya nchi na mbingu pia.
Nasahihisha WORD ORDER(Subj-verb inversion) na SPELLING, nincompoop!unachosahihisha nini hapo!??
kwamba unataka nitumie affirmative badala ya interrogative statement??
no wonder you feed our students with mucus.
hamjui hata mnachofundisha!!