- Thread starter
- #21
miaka gani hiyoMtaalamu wa chemistry nomaa sanaa yulee mzee
miaka gani hiyoMtaalamu wa chemistry nomaa sanaa yulee mzee
Hivi huyu Rwechungura ni yule wa hesabu na physic? Miaka ya 76-77wanafunzi walikuwa wanamwita kichwa cha nyokaUmemsahau Rwechungura (kwa fimbo alikuwa hajambo), Dyamkwamba, Muya, Mussa (Huyu alihamia Popatlal), Mama Tuni,.... namkumbuka sana Copper Sulphate R.I.P., alichezea timu ya Mkoa wa Tanga wakati shule haina taarifa. Siku moja uongozi wa Chama cha Mpira wakaja kutoa shukrani zao.
Haswaaa, kuna jina alipewa ila nishalisahu. Jamaa katutesa sana kwenye Physics Form One.Hivi huyu Rwechungura ni yule wa hesabu na physic? Miaka ya 76-77wanafunzi walikuwa wanamwita kichwa cha nyoka
Watu wale chumvi zao bana1976 timu ya usgara ilipocheza na poptal namkumbuka sadik heri baharia walikuwa wanawaambia poptal wao wao wanacheza mpira wakati usagara wanacheza football
Haya bana classmate 2009. Mr. Kisinza Hostel master. Pia nakumbuka tukio la wanafunzi wa kiislam CBG kutaka kumuua mwl GS kwa ajili kusema vibaya mtume wao. Mkwizu Mkuu aliyekuwa anatumia usafiri wa baiskeli kutoka usagara mpaka sahareMwaka 2009 ; form six USA sec .nakumbuka sanaa uck tunaenda kwenye baikoko .kula maharage yenye top layer n.k pia majina ya hostel kama annex .thinker California uwanja kama old Trafford na venue yakusomea mzimuni unasoma huku unapiga chabo watoto kutoka mkwakwan old tanga coastal wanasubr daladala pale nje na ukichoka basii unachil Uhuru park Na unazungukia mitaa ya library bila kusahau jmos kwenda kusomea novert na week end nyingine kujitusha disco rakasachikaa.all in all usagara imenitoa na ndo inanipa jeur kwa mtaa na mm ni mtu kat ya watu
Hahahaha yule ticha yupo Sua pale ni human resource officer .mwanafunz alikuwa salimu alikuwa mtata sanaa siku hiyo jamaa alifundishaa mambo ya gender inequality akatoa mifano ya dini zote ilaa kweny uislam akakazia kidogo jamaa akasimama na kumwambia mwl futa kauli tchaa akachukulia pw kesho yake wakagoma kuingia classHaya bana classmate 2009. Mr. Kisinza Hostel master. Pia nakumbuka tukio la wanafunzi wa kiislam CBG kutaka kumuua mwl GS kwa ajili kusema vibaya mtume wao. Mkwizu Mkuu aliyekuwa anatumia usafiri wa baiskeli kutoka usagara mpaka sahare
We ulikuwa CBG I guess na ulisoma SUA vetiLook to this day
Mgavao R.I.P tangu 90'sHivi Mgavawo yupo wapi sasa
Dahaa ilikuwa sanaa. Pande za Mkuu kwa sasaHahahaha yule ticha yupo Sua pale ni human resource officer .mwanafunz alikuwa salimu alikuwa mtata sanaa siku hiyo jamaa alifundishaa mambo ya gender inequality akatoa mifano ya dini zote ilaa kweny uislam akakazia kidogo jamaa akasimama na kumwambia mwl futa kauli tchaa akachukulia pw kesho yake wakagoma kuingia class
Mzeee ndo maana tunatumia ID tunasemaga anthrax .meaning don't expose the carcass spores of bacillus anthrancis will spreadWe ulikuwa CBG I guess na ulisoma SUA veti
Mzeee ndo maana tunatumia ID tunasemaga anthrax .meaning don't expose the carcass spores of bacillus anthrancis will spreadWe ulikuwa CBG I guess na ulisoma SUA veti
Huyu mwalimu alitufanya tupende sana michezo.Mgavao R.I.P tangu 90's
OK nimesoma nitakutafutaMzeee ndo maana tunatumia ID tunasemaga anthrax .meaning don't expose the carcass spores of bacillus anthrancis will spread
Duuuuh 1976 kitambo aseee shikamoo sanaaa nahc nyi ndo mlituachia Yale material1976 timu ya usgara ilipocheza na poptal namkumbuka sadik heri baharia walikuwa wanawaambia poptal wao wao wanacheza mpira wakati usagara wanacheza football
Hahaha jf forum ukute ww nimshikaj Wang tulikuwa tunakesha wote mbu area tunakula msuli ilaa kisa ID hatusomanOK nimesoma nitakutafuta
Hahaha 2011 pcmUuuwi, look to this day,
Kama unamkumbuka mwalimu mkuu Babu Dictator a.k.a Mkwizu
Nakumbuka Bito Cup,
advance tulikua tunaligi ya kugombea mikate na soda
Nimetoka pale 2010 form six PCB 2
Daar aisee 90s kitambo sanaa kwel jf inatuleta pamoja maana hii miaka mm natambaa watu wanapiga shule na kupishana koridon usagaraHuyu mwalimu alitufanya tupende sana michezo.
HahahahaMwaka 2009 ; form six USA sec .nakumbuka sanaa uck tunaenda kwenye baikoko .kula maharage yenye top layer n.k pia majina ya hostel kama annex .thinker California uwanja kama old Trafford na venue yakusomea mzimuni unasoma huku unapiga chabo watoto kutoka mkwakwan old tanga coastal wanasubr daladala pale nje na ukichoka basii unachil Uhuru park Na unazungukia mitaa ya library bila kusahau jmos kwenda kusomea novert na week end nyingine kujitusha disco rakasachikaa.all in all usagara imenitoa na ndo inanipa jeur kwa mtaa na mm ni mtu kat ya watu