Awezi kwenda ndugu sheria ya kufanya mtihani wa kidato cha 6 awe na angalau credit 3 zisizohusisha somo la diniAnaenda. Ana C mbili ya Civics na Kiswahili.
Naunga mkono hoja, aende Sheria akaanze ngazi ya cheti.
May beAende akaanze ngazi ya cheti kozi ya Sheria, kisha afanye Diploma. Atafanikiwa.