Wakuu nambeni ushauri wenu kwa kijana wangu

bawe

Member
Apr 29, 2014
23
6
Form four results DIV 3 YA 25 Ponts
CIV =C
HIST =D
GEOG =D
KISW =C
ENG = D
ELIMU/D/KIISLAM =C
ARABIC = D
BIO = D
B/MATH= F

Ajiandae kwa wapi? Ualimu anaweza kuchaguliwa?
 
Kwa siku hizi ukiwa na C mbili za masomo yoyote unaruhusiwa kuendelea form five. Huyo kijana ataenda private school combi ya arts
C tatu ndio unaenda form 5 sio C mbili lakini hizo komb za arts ndio wanachukua masomo uliyofeli??
 
3 credits in non religious subjects.

Kijana amefaulu vzr. Kama mzazi mtie moyo na mpeleke kozi anazopenda yeye.
 
Back
Top Bottom